Mpenzi wangu anapiga punyeto

Mpenzi wangu anapiga punyeto

Mmh. Sijui lakini sababu najikuta siamini amini. Mwanamke akiwa mtup* ana mvuto wake lakini swahiba na ni ngumu kwa mtu aliyekamilika yaani hata asishituke. Mmh.

Ila kama ni kweli amtafutie tiba tu sababu kuna raha anazikosa.
ur missing a point, jamaa kajikinga na HIV isiyo na ulazima, punyeto ni safe 100% , yaani uyu jamaa labda ajikate na kiwembe ndio apate ngoma! big up kwake
 
Labda kahisi una Ukimwi wewe.. Tuma picha kwanza tukuone
 
Kama inavyosomeka hapo juu,

Nimekuwa na mahusiano na kaka mmoja kwa miezi mitatu, lakini cha kushangaza alikuwa haniombi mchezo, nikawa najiuliza huyu kaka miezi mitatu sijawahi kusikia hata akiniomba mchezo kama walivyo wanaume wengine ambao wiki moja tu ameishaomba mchezo.

Basi juzi nilimuomba makusudi nikamsalimie kwake, akakubali, nilipofika kwake na kwa vile nampenda niliamua nimchezee ili ajue kuwa nataka mchezo.

Nikawa nimekaa naye kwenye kochi namtomasa tomasa, nikaona kama anataka, nikanyanyuka nikavua nguo nikaoge kwanza, nilipomaliza nilimshika mkono tukaingia chumbani, basi tukaanza kuchezeana lakini dudu yake haikusimama, nikabembeleza hakuna kitu.

Basi nikamuuliza una matatizo gani? Akanijibu labda ana stress, mawazo, labda siku nyingine itasimama, basi nikamuaga akaniitia tax nikaondoka, ila wakati tunaondoka kama mita 200 nikamwambia driver nimesahau hereni zangu nirudishe nikachukue, dreva akanirudisha, nikashuka na kuingia ndani bila hodi, chumba chake kina bafu humo humo, nilipoingia hapo chumbani nikasikia sauti kama yupo mchezoni, nikajiuliza huyu mwanaume ana nani bafuni ambaye wanafanya naye mambo, kwa kweli sikuvumilia nikafungua mlango, paap namkuta mwanaume anachua uume wake mpaka anakojoa shahawa.

Nikasikitika sana, nikamuuliza kulikoni mbona hivo, akakasirika na kuniambia niondoke, basi nikaondoka, hata sikuchukua hizo hereni, nikachoka mwili mzima,na kutikisa tu kichwa.

Najiuliza nimsaidiaje huyu mwanaume,? Ushauri wenu tafadhali
Unamambo mengi wewe
 
Namsaidiaje sasa
Kuna njia nyingi za kumsaidia lakini kubwa ni wewe kumuandaa mpenzi wako kwa kumfanyia machejo mbalimbali direct katika sehemu zake kama anavyojifanyia;naamini hisia zitakuja na mtaendelea na mambo yenu...Ni kama kuwasha gari kwa kusukuma!!!!vijana wanalugha zao blow...nini sijui
 
Duuh! Huyo kaa nae mdomdo yaan anza kumpigisha weww siku nyingine unampigisha nusu nusu unaiingiza kunako sikunyingine unaanza kam kumpigish ikismama mnaendelea fanya hayo ndani ya mwezi huku akifanya mazoezi mwambie aache kuangalia x mambo ni mengi ila hayo yanatosha kwa sasa asisahau mazoezi ya kegel pia anapokojoa kawaida awe anabana mkojo na kuachia hivyohivyo mpaka unapoisha hapo itaongeza ubora wa misuli na kutatua premature ejaculation
 
Duuh! Huyo kaa nae mdomdo yaan anza kumpigisha weww siku nyingine unampigisha nusu nusu unaiingiza kunako sikunyingine unaanza kam kumpigish ikismama mnaendelea fanya hayo ndani ya mwezi huku akifanya mazoezi mwambie aache kuangalia x mambo ni mengi ila hayo yanatosha kwa sasa asisahau mazoezi ya kegel pia anapokojoa kawaida awe anabana mkojo na kuachia hivyohivyo mpaka unapoisha hapo itaongeza ubora wa misuli na kutatua premature ejaculation
Atume picha tumuone
 
Hiyo Ni shida ya kifikra na maumbile.. phycology defect on sexual practice...njoo DM nikuelekeze Cha kufanya.
 
Back
Top Bottom