Mpenzi wangu ananizidi umri!

Mimi ni kijana wa kiume nina mpenz wangu ambaye tunapendana sana na tunatarajia kuoana lakini yeye ni mkubwa kwangu, je hili linawezekana kwa kuwa na mke anaekuzidi umri.
Ushauri wenu wakuu!

SHAKIRA ana mzidi GERARD PIQUE miaka 10 kamili tena kamili kabisa coz hata birth day yao ni siku moja. Shakira amezaliwa 2/2/1977 na Pique 2/2/1987.

Hapo ndipo utakapo jiuliza sasa.
 
 
Last edited by a moderator:
Hata siku moja usioe aliekuzidi umri.

Wanaume lazima uwe na sense of power. Na wanawake mara kwa mara wanajisahau na inabidi kuwaweka sawa. Akikuzidi umri utakua chini tu hata kama atakufanya ujihisi una kauli juu yake ila moyoni na akilini udogo upo.

Kumbuka; ukishasita kufanya kitu jua kuwa kitakuwa tofauti na ulichotegemea.

(Wahehe ni exception kwenye hii point. Wana heshima balaa (wa vijijini lakini))
 
Hacha kua serengeti wewe, Em amka utafute binti,,,, 4years???!!., You can't be serious
 
Hiv mtoa mada amesema nini nishasahau ICHANA nikumbushee basii
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo utaacha kuzurula utulie la sivyo tusijuanee tumekutana kimjini mjini tutaachana kimjinimjinii

Kwa niaba ya Vaislay nakuahidi haya mambo yameisha. Ndani na nje ya JF. Vaislay. .. I trust you in this. Kama ni makonzi nidunde tukifika home...
 
Last edited by a moderator:
Kuwa sample yetu ili tujue kama inawezekana au la!

Pia kukujuza,mtaani kwetu kuna mganga anaweza kuongeza na kupunguza umri...kama vipi tupange nije nimpitie shemeji nikampunguze umri ili muwe sawa eti eh?
 
Mimi ni kijana wa kiume nina mpenz wangu ambaye tunapendana sana na tunatarajia kuoana lakini yeye ni mkubwa kwangu, je hili linawezekana kwa kuwa na mke anaekuzidi umri.
Ushauri wenu wakuu!

Mdogo wangu kupendana siku hizi umekuwa msamiati adimu kidogo. Hebu mchunguze tena kidogo... kama kweli ni kupendana, mi sikushauri uuchukulie umri kama kikwazo. Wapo waliooa wadogo kwao but wanateseka vibaya kwenye ndoa zao...
 
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya Vaislay nakuahidi haya mambo yameisha. Ndani na nje ya JF. Vaislay. .. I trust you in this. Kama ni makonzi nidunde tukifika home...
I love you Tuko. Siwezi kukupiga kwani umeniambia ukweli..
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…