Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 319
- 209
Mbona ulipokua unamtafuna haukuona kama ni mkubwa kwako? Kama unaelewa maana ya ndoa haliwezi kua tatizo hata kidogo.
Hebua tuambie umri aliokuzidi, maana usije ukawa Serengeti
kakuzid miaka mingapi
Amesema 4yrs.
Mapenzi ya umri yanatoka wapi karne hii jamani?