Pole sana. Kwa hali hiyo, mweleze wazi wazi kuwa hakutendei chaki, na hakupi chaki yako kama binadamu (achilia mbali kama mke wake). Mpe muda kidogo wa kubadilika. Akibadilika ni vema, asipobadilia nakushauri uondoke kwani hapo patakuwa si mahali salama kwa kuishi.