Kwanini mkeo amempa nafasi ya kuwasiliana nae? Jiulize kwanza mkeo anakosa gani kumkatibisha na kumpa uhuru na labda kasema mengi mabovu juu yako kwa huyo au labda kaomba omba na pesa juu kuwa ana shida

Huyo ni heathen ledger marehemu, hana chochote kuhusiana na giza. Ukiamini giza umepotea ndugu yangu, fanya utafiti maisha ya watu wanao amini kwenye giza kisha njoo unipe feedback.