hahaahahaha we mie sio mchaw ila najua mambo mengi unajua so had wataalam tunajuana nao so mie nilisema go ahed ...kama jesh money si unajuaMbona unasound too boyish unawezage kuwa na uchawi...ulifunza na nani huo uchawi ewe mvulana?
Ooh hapo sawa mkuu nimekusoma ila usifanye maamuzi ukiwa na hasira.nimemuuliza akasema alimfuata mara tatu so ikabid ampe ili amjibu so hayo ndo maneno ya baby ...ila yeye akawa msumbufu unajua tatizo sio kumtongoza ila kunitishia mim aiseee ..
ndio najua ila kunitishiaaaa ....uwa sipend so atalamba tuuuu i hate hata kama unamtaka ila sio ifikie unitishie mim imempendaa kisa anapendeza kwa ajili angu ... unajua ni nin sio watu wote ni wabaya ila wabaya ndo wanafanya wema wawe wabaya ...dunianOoh hapo sawa mkuu nimekusoma ila usifanye maamuzi ukiwa na hasira.
Alafu hajui kwanini kaleta thread yake humuTATZO HUJUI KUANDIKA
Yaani kama nilivyokuelewa unaamini sana uchawi!so ......
nan amesema anajisifia uchawi ..it is another mechanism to ..... of defending