Mpenzi wangu ananitisha nisaidieni..

Aliwezaje kuvishinda mpaka ukamkuta salama?

Kwani nani kakuambia aliyekuwa msafi nyuma hata mbele ya safari lazima awe msafi people are dynamic hata jambazi wa leo huko nyuma alikuwa msafi.
 
Billie pole kwa yote ambayo unayapitia hususan kwenye msononeko wa moyo unaokunyima amani na furaha kwenye mahusiano yako. Inaelekea mpenzio ni mrembo kwelikweli na ndo linalokunyima raha. Lakini kama yeye mwenyewe kashakuambia usijali inabidi ujikaze kiume na ukubaliane naye na juu ya yote umuamini. na kumuamini huko uanze wewe mwenyewe kujiamini na kubadilisha mindset yako. ukishaweza hii basi wala hutakuwa na tabu. hao wenye pesa na mali nyingi wala wasikubabaishe wanataka tu kumchezea mdada wa watu. lakini pia it all lies with your girlfriend if she really cares and loves you she will stay true to you and not otherwise despite the ukabwela situation you have ingawa siamini kama you are that bad angalau mahitaji muhimu unayamudu.

Jikaze kiume na furahia maisha sio ukae ukisononeka kila siku maisha yenyewe mafupi haya unaweza uka-kanumba (RIP) anaytime anywhere. all the best.

js una busara sana MUNGU akubaliki
 
billie ,mbona moga sana, ww usijali huyo wak .lakin usijisress mtu wangu ok cooldown

Wahida ki ukweli ni kweli sina confidence ila nipo kwenye harakati za kuijenga confidence I wont let down dear
 
best we ni mwandish kama eric shigongo, acha fix..uyo dada angekua mzur kias icho tz au dar yote ingemtambua hahaha duh! We noma, una kipaji.
 
best we ni mwandish kama eric shigongo, acha fix..uyo dada angekua mzur kias icho tz au dar yote ingemtambua hahaha duh! We noma, una kipaji.

We unahisi nikikutungia napata nini kwako jifunze kuwa na imani na wenzako hata mimi nimekosa imani ndiyo maana sifurahii mapenzi kutoka kwa mdada ambae wengi wanatamani kuwa nae.
 
mm wa watu sijui nikoje...sijawahi pata BP na hawa viumbe...bo!wote naona kawaidaaaa!
 
wewe kinacho kusumbua ni inferiority complex, yani hujiamin muda wote una hofu ya kunyanganywa. Kama asingekuwa anakupenda asinge taja cheo chako mbele ya watu wote pale.
 
Mapenzi ni tofauti na tamaa za mwili, Acha kuangalia mapenzi kwa mambo yanayoonekana kwa macho. Mapenzi hayalinganishwi na kitu au pesa. Mpe mpenzi wako anachotaka. Anakupenda nawewe mpende mpendane.
 
mlokole mkatoliki ndiyo dini gani............................ndiyo nimeisikia leo.................tatizo ni wewe una very low self-esteem...........ahata hao unaowadharau kuwa ni saizi yako ujue kama hujiamini kiroho kitakuwa kinakusumbua................maana njemba mtaani zipo kunusanusa visivyo vyao..........
hahahhahha hahahhhhhhh daah aiseee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom