Sasa siwez kumuacha huyu dadadhambi mbaya, hutapata amani ya roho uzeeni kwako, ukiendekeza utakua muhuni na ukikosa ukimwi au gonno basi lazima dushee itaziba siku za usoni sababu ya kushambuliwa na bacteria.. ogopa sana utumbo mpana wa binadam mwenzio ni zaid ya choo.. jipe adhabu mapema kwa kujiepusha na ngono kwa sasa mpaka utakapo pata mwenzi wa halali wa ndoa itakusaidia kisaikolojia , mungu sio mjinga kutenganisha hizo parts.. to enjoy nature you have to obey it
Maserat sio kwamba napenda ila nifanyaje ili nisimkose huyu dadaDuh!! Jamani jamani jamani Mungu anawaona mjue...
Shauri zenu
Tuliamua kuacha ila atafanya hila hadi..nyie vijana nyie..... haya mambo hayakusaidii kitu.....kama kweli hupendi ungeacha kitambo, but kwa sbb unapenda umekuja kusherehekea hapa..... sicho ukifanyacho.....kama kweli unampenda mwambie muache......ni ushauri tuu...
Aiseehuyo demu wako alivokupa huko nyuma, ww haukusikia raha zaidi? Bao c lilikuja fasta sana? muosha rungu
mmmNaomba mamba yake ya WhatsApp au fb ID yake pls tueur de lion
Mkuu mm nimelazimishwaKabla ya wewe kujiuliza hiyo tabia kaitoa wapi, jiulize wewe umeitoa wapi?
Mpaka ukafikia hatua ya kumuunga mkono!!!
LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
NitajaribuUnaweza ona ni kitu cha kawaida ila ukichukua muda na kutafakari vizur ni zito kwani tayar mshapendana.
Ila MPE athari za kula kinyume na maumbile then akitaka mgomee maana Tatar mnapendana hatakuacha ghafla.
Nililazimisha kimazingiramkuu muosha rungu rekebisha kichwa cha thread yako hakiendani na ulichokiandika wewe
sioni mazingira ya wewe kulazimishwa katika maelezo yako zaidi ya kuvtiwa na maklaio makubwa ya huyo mpenzi wako basi zaidi naona ni kama unatafuta justification ya dhambi unayoitenda we endelea tu then usubirie matokeo yake basi
Mkuu wanasema kuna madhara halafu unaomba pasi tenaMkuu ukimshindwa nigee namba yake wahenga walisema hivi kizuri kula na nduguyo
Inabidi uanze mchakato wa kuacha Mkuu!
Sina chakumshauri wakati tayari ameshafanya angekuwa hajafanya ningemshauriMsaidie ndugu yako anapita geti Dogo bila nauli mkuu