Mambi ya nyakati🤣🤣Habar wakuu,
Nina mpenzi kwasasa ni mwaka mzima ila kwasasa sina raha kabisa ananiondolea furaha ya maisha.
Nikiwa nimekaa anapiga simu tunaongea anauliza nipo wapi dk 15 nyingi simu tena anauliza nipo wapi, nisipopokea simu message za malalamiko zitangia zaidi ya 20 hapo.
Basi bana nikipokea simu akiskia kelele anaanza kuhoji nipo wapi nafanya nini, kosa nikitaja sehemu mara huyo kaja kiukweli haielezeki, ananipa kero sana nishindwe kukaa sehemu hata na marafiki tuh yeye anataka kila muda tugandane gandane.
Mapenzi yakipumbavu kama haya siyapendi kabisa, ananisumbua hivi tukianza kuishi pamoja sindoitakuwa shida hivi, na bora ungesema Umri mdogo anamiaka 30+ huko
Asante mkuuMvumilie atakua tu na kubadilika, ila inapaswa akiuliza ulipo wewe potezea usimjibu hilo swali, na wakati mwingine acha kupokea simu, akituma SMS 20 usimjibu kitu, kwa kfupi anza kumsaidia kuzoea kuishi bila hizo kero zake.
Hapa nakazia hasa.M.Melo imefika wakati ufungue jamiiforum totoplus ili watoto kama hawa wapate fursa ya kujadiliana mambo yao ya kitoto kitoto,sifa za kujiunga kitambulisho cha shule ama chuo..ukikua utaelewa
Mwizi huyoHabari wakuu,
Nina mpenzi kwasasa ni mwaka mzima ila kwasasa sina raha kabisa ananiondolea furaha ya maisha.
Nikiwa nimekaa anapiga simu tunaongea anauliza nipo wapi dk 15 nyingi simu tena anauliza nipo wapi, nisipopokea simu message za malalamiko zitangia zaidi ya 20 hapo.
Basi bana nikipokea simu akisikia kelele anaanza kuhoji nipo wapi nafanya nini, kosa nikitaja sehemu mara huyo kaja kiukweli haielezeki, ananipa kero sana nishindwa kukaa sehemu hata na marafiki tuh yeye anataka kila muda tugandane gandane.
Mapenzi yakipumbavu kama haya siyapendi kabisa, ananisumbua hivi tukianza kuishi pamoja sindoitakuwa shida hivi, na bora ungesema Umri mdogo anamiaka 30+ huko
We jinsia gani na mpenzi wako jinsia gani?
Oya nyangau 254 uzi wa kimasihara unautembeleaga?.Mvumilie atakua tu na kubadilika, ila inapaswa akiuliza ulipo wewe potezea usimjibu hilo swali, na wakati mwingine acha kupokea simu, akituma SMS 20 usimjibu kitu, kwa kfupi anza kumsaidia kuzoea kuishi bila hizo kero zake.
Habari wakuu,
Nina mpenzi kwasasa ni mwaka mzima ila kwasasa sina raha kabisa ananiondolea furaha ya maisha.
Nikiwa nimekaa anapiga simu tunaongea anauliza nipo wapi dk 15 nyingi simu tena anauliza nipo wapi, nisipopokea simu message za malalamiko zitangia zaidi ya 20 hapo.
Basi bana nikipokea simu akisikia kelele anaanza kuhoji nipo wapi nafanya nini, kosa nikitaja sehemu mara huyo kaja kiukweli haielezeki, ananipa kero sana nishindwa kukaa sehemu hata na marafiki tuh yeye anataka kila muda tugandane gandane.
Mapenzi yakipumbavu kama haya siyapendi kabisa, ananisumbua hivi tukianza kuishi pamoja sindoitakuwa shida hivi, na bora ungesema Umri mdogo anamiaka 30+ huko
Sio kweli..Tafuteni kazi. Ukiwa na kazi, yeye hawezi kukufuata kazini. Akiwa na kazi hawezi kukusumbua kwani majukumu yatambana!
Oya nyangau 254 uzi wa kimasihara unautembeleaga?.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugu watanzania Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu nchemba kwa kushirikiana na January Makamba....
Wanasema wamependa huu mjadala wenu, Ikifika saa 4, ni mda wa kuilaumu serikali.
Sawasawa mkuu..nilidhani umejifungia Kenyan News na International news tu.JF natamba kote tena humu natongoza kabisa....
Mpenzi wako anasumbuliwa na mambo mawili inferiority na loneliness, kukusumbua huko anajitahidi kukuambia kuwa anahitaji uwe naye karibu kwa namna itakayowezekana maana kiuhalisia anajihisi mpweke ila kwasababu kichwa chako kidogo kama nzi unakuja kulalamikia JF, Wewe bado ni mvulana hata kama una umri mkubwa.. kuwa kwanza ndio utawaelewa wanawake..Habari wakuu,
Nina mpenzi kwasasa ni mwaka mzima ila kwasasa sina raha kabisa ananiondolea furaha ya maisha.
Nikiwa nimekaa anapiga simu tunaongea anauliza nipo wapi dk 15 nyingi simu tena anauliza nipo wapi, nisipopokea simu message za malalamiko zitangia zaidi ya 20 hapo.
Basi bana nikipokea simu akisikia kelele anaanza kuhoji nipo wapi nafanya nini, kosa nikitaja sehemu mara huyo kaja kiukweli haielezeki, ananipa kero sana nishindwa kukaa sehemu hata na marafiki tuh yeye anataka kila muda tugandane gandane.
Mapenzi yakipumbavu kama haya siyapendi kabisa, ananisumbua hivi tukianza kuishi pamoja sindoitakuwa shida hivi, na bora ungesema Umri mdogo anamiaka 30+ huko
AsanteMpenzi wako anasumbuliwa na mambo mawili inferiority na loneliness, kukusumbua huko anajitahidi kukuambia kuwa anahitaji uwe naye karibu kwa namna itakayowezekana maana kiuhalisia anajihisi mpweke ila kwasababu kichwa chako kidogo kama nzi unakuja kulalamikia JF, Wewe bado ni mvulana hata kama una umri mkubwa.. kuwa kwanza ndio utawaelewa wanawake..