Mpenzi wangu ananikera sana

Kama anakukera tukusaidie nini mkuu, kama humuwezi muache apate wa kuendana nae.
 
Subiri upate ambae ako opposite ndo utaelewa the first choice was the best choice,
 
Ndugu watanzania Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu nchemba kwa kushirikiana na January Makamba....
Wanasema wamependa huu mjadala wenu, Ikifika saa 4, ni mda wa kuilaumu serikali.
 
M.Melo imefika wakati ufungue jamiiforum totoplus ili watoto kama hawa wapate fursa ya kujadiliana mambo yao ya kitoto kitoto,sifa za kujiunga kitambulisho cha shule ama chuo..ukikua utaelewa
Totoplus forum 😀
 
Haumpi mchezo vizuri ndio maana. Huyo uwe unaandaa siku moja unavunja ratiba zote unapiga mzigo siku nzima then unasikilizia. Kwa wiki hakikisha labda siku mbili au moja ndio haupigi gemu. Utaona hiyo attention itakavyobadilika.
 
Mahusiano huambatana na misimu ya kuona Kila kitu ni kero na chuki nk sometimes unaweza kufeel humuhitaji huyo mwenzako kwenye maisha yako, lkn uhalisia ni unamuhitaji,mnapendana nk.

Mwaka mmoja siyo mingi sana kwenye mahusiano, unaweza kumuacha pia siyo ishu sana
 
Haumpi mchezo vizuri ndio maana. Huyo uwe unaandaa siku moja unavunja ratiba zote unapiga mzigo siku nzima then unasikilizia. Kwa wiki hakikisha labda siku mbili au moja ndio haupigi gemu. Utaona hiyo attention itakavyobadilika.
Fata huu ushauri mleta mada utakuja kushukuru .

Kila akikutafuta we mpige show ya maana.
 
Inavoelekea ww mschana ni playgirl halaf umekutana na mtu yupo na ww serious. Nikwambie tu mwanaume asiyekufuatilia maaana yale wewe ni second option kwake, ukiwepo ama usipokuwepo haina tofauti kwake. So ukitaka asiyekufuatilia achana na huyo tafuta mwingine. And inshort kakuona hujatulia ndo maana anakufuatilia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…