Mpenzi wangu ananidekeza kinoma Mazee!

Mtaaalam Wa static hahahah tumia section mtoto umpate
 
Mwombe 0713. Lazima ataingia mitini...

Asipoingia mitini akakutunuku huo mtandao ujue kabisa hiyo bikra unayosema umeikata ilitokea Shan Sho Pu.
Ndugu [HASHTAG]#aspirin[/HASHTAG] nimejaribu kufuatilia michango yako. Mkuu una comment nzito nzito tu. Hongera kwa hilo. Unajaribu kumpa mawazo ya kufanya maamuzi magumu.
 
Malaya mpo wengi humu ,yaan unaruka mkojo unakanyaga mavi
 
Mwombe 0713. Lazima ataingia mitini...

Asipoingia mitini akakutunuku huo mtandao ujue kabisa hiyo bikra unayosema umeikata ilitokea Shan Sho Pu.
shan shopu ndo wap mkuuuu
 
I sinki zisi is chai (kingereza kuonyesha msistizo)ila kuna wanaume hawakui we umepata mtu anakudekeza wataka nini zaidi jufunze ebu kwa wenzio huku jf wanalia wamepata wake vimeo na wanajuta hawawezi toka ndoan wako na kile kitanzi cha roho mpaka iache mwili tulia dogo km n destiny nyie kuwa pamoja mtakuwa au useme umeichokahiyo nyapu unataka nyingine find it zipo nyingi lakn wenye mioyo ya upendo na utulivu ni wachache tuliza kipira
 
Daah! yani wengine tunatafuta wakutupenda na kutudekeza.. Wengine mnataka kuwapiga teke..! Ila sawa samani ya mtu sikuzote inaonekana hakiwa hayupo. Mweleze ukwel tu mkuu wala usimpoteze mda na bahati uko dada wa watu akajua amepata mume kumbe kumbe mpuzi asisamin hata isia zake
 
Huyo demu atakuwa ni mchaga,maana wachaga wanapendaga kiboya wakipata mtu anaejua kugegeda.
 
Right kama ningempata mwanamke uliye nae kwa sasa hata nisingethubutu muacha hata mara moja, kama utamuacha huyo mwanamke jua utafunzwa baadae. Huwa namuomba Mungu nipate mwanamke aliye na tabia kama ya huyo uliye nae lakin naangukia pabaya leo hii unataka umuache dah!
 
Sasa unategemea nani atamuoa??? Yaani bikra umtoe alafu sisi tuje kula matapishi??? So sad, wewe oa tu, tena nasema oa...
Binafsi nakushauri muoe haina jinsi Mkuu

Wewe oaaaaaaaaaaaaaa, nasema oaaaaaa haraka sana
Hahaha...TOL_Tanzania oxygen ltd upo right
.
 
I hope no one discovers you
Hope no one sees her
I hope no one falls in love with you
I've got my reasons
'Cause if they knew what I know then I know I wouldn't stand a chance
There's no way you would go for a man like me if you had options

[Chorus]
Even though the world was meant for you
I hope you don't get famous
'Cause everyone will love you but won't love you like I do, oh nah
Hope you don't get famous
Stay home with me
Stay home with me
I'll always love ya, I'll always
Hope you don't get
Hope you don't get famous
Hope you don't get famous
Hope you don't get famous
Hope you don't get famous
Yeah
 
Nyie viumbe huwa hamueleweki mnataka ninii unapendwa hupendwi
 
Anza na Montiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…