Hilo nalo neno,nafikiri hao walimu walikuwa hawapendi post waliopangiwa ndio wakazusha habari ya POPO BAWA au siyo?Acha ubishi kuna kesi ya walimu walipangiwa kwenda kufundisha mikoani, mkoa nimeusahau walikuwa wakiingiliwa kiuchawi, asubuhi wakiamka wanakuta wamegegedwa, waligoma kufundisha, ilikuwa ishu kubwa mpaka ilitangazwa maredioni, mikoani kuna mambo ya kipumbavu sana, mkuu mwambie huyo binti awe karibu na Mungu sana.
unatangaza ushetan wakoKaa nae karibu na ikiwezekana lala nae kitanda kimoja uone kama hii hali itamtokea au la....
Hayo ni mambo ya kiroho zaidi amuombee mola wake au aje kupata huduma bora ambayo itamuondolea hilo tatizo ( ILLUMINATI ) naamini tatizo lake litaisha.
Heri ya mwaka mpya 2017 nawatakia......
Mkuu una maana ghani unavyosema Mkoani kuna mambo ya kipumbavu!!Acha ubishi kuna kesi ya walimu walipangiwa kwenda kufundisha mikoani, mkoa nimeusahau walikuwa wakiingiliwa kiuchawi, asubuhi wakiamka wanakuta wamegegedwa, waligoma kufundisha, ilikuwa ishu kubwa mpaka ilitangazwa maredioni, mikoani kuna mambo ya kipumbavu sana, mkuu mwambie huyo binti awe karibu na Mungu sana.
Baadhi ya mikoa wanahusudu sana mambo ya kishirikina mkuu, sasa mgeni ukiingia wanaanza kukuchezea, ndio maana ya mambo ya kipumbavu.Mkuu una maana ghani unavyosema Mkoani kuna mambo ya kipumbavu!!
Tena asijaribu...Kuna jamaa alijaribu kufanys hivi ajaliwa yeye kiboga..Kaa nae karibu na ikiwezekana lala nae kitanda kimoja uone kama hii hali itamtokea au la....
Hayo ni mambo ya kiroho zaidi amuombee mola wake au aje kupata huduma bora ambayo itamuondolea hilo tatizo ( ILLUMINATI ) naamini tatizo lake litaisha.
Heri ya mwaka mpya 2017 nawatakia......
Akilala naye kitanda kimoja na jini akija akashindwa kujua nani ni nani je?Kaa nae karibu na ikiwezekana lala nae kitanda kimoja uone kama hii hali itamtokea au la....
Hayo ni mambo ya kiroho zaidi amuombee mola wake au aje kupata huduma bora ambayo itamuondolea hilo tatizo ( ILLUMINATI ) naamini tatizo lake litaisha.
Heri ya mwaka mpya 2017 nawatakia......
[emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38]Akilala naye kitanda kimoja na jini akija akashindwa kujua nani ni nani je?
Lije kuwa jini la mombasa ykheee[emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38]
Mkuu.....
Hata sielewi akiwakuta watu wawili jinsia mbili tofauti yaani..
[emoji38] [emoji38] [emoji1][emoji1] [emoji1]Lije kuwa jini la mombasa ykheee
[emoji87] [emoji87]Tena asijaribu...Kuna jamaa alijaribu kufanys hivi ajaliwa yeye kiboga..
[emoji85] [emoji85]unatangaza ushetan wako