Niliwahi kuota kuwa nafanya mapenzi na msichana tangu naanza form 1 mpaka nikamaliza tatizo hili liliendelea kwa mda mrefu. Nilipo jaribu kuomba ushauri matakitari waliniambia kuwa ni hatua ya makuzi kwa kijana marafiki wakaniambia kuwa huwa ni jini mahaba ambaye anamuingia mtu ambaye hasa hajawahi kufanya mapenzi na mtu yeyote. Ukweli katika maisha yangu sijawahi kufanya mapenzi na msichana yeyote. ILINIBIDI NIENDE KWENYE MAOMBI WAKANIOMBEA MPAKA SASA TATIZO HILO HALIPO TENA.
Nakushauri mwambie aende kwenye maombi ndoto hizo zitaisha na wala jini hato tumia mwili wake tena.