Mpenzi wangu analalamika simtafuti

Mpenzi wangu analalamika simtafuti

We naye punguza shobo tuliza kipago hicho, kama ndugu zako wa kike na wapenzi wako wanajiuza basi usidhani kila mwanamke anajiuza, hao wanaume takataka wana hela gani za kunipa hadi nijiuze kwao (mwanaume yeyote anayenunua malaya ni takataka tu)
Wewe si umesema unatoa K tu kwa mabwana zako hiyo ni ishara ya umalaya
 
Yaan mtu km wee mie ndo hitaji langu kabisaaa, hebu muache uje kwangu.
 
Scroll up utaona malaya wewe
Wewe uliyesema hivyo ndio ufanye hiyo kazi ya kuscroll up uoneshe ni wapi nilisema hayo, vinginevyo utaishia kuonekana una shobo mtoto wa kiume, unavamia mada halafu badala ya kujadili hoja unanijadili mimi..mbona unakuwa kama ulizaliwa kwenye choo cha kilabuni
 
Ukiona mtu anatukana au kuwadharau watu wa jinsia nyingine ujue ni limbukeni.
 
Hello puntas, nina manzi fuluani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi mpigia kama hajanicheki, atume sms au apige, abip ndio nimpigie, for almost 2 years, sasa ghafla analalamika mbona simtafuti mpaka aanze mwenyewe.

Amenuna kwa sasa hanitafuti mpaka nimuanze, nikaona labda kuna mlamba lips anapiga simu kutwa mara 10 ndio maana amekuwa hivi, nikaamua kuachana naye lakini akagoma kuachana tena akasema wala hamna anayempigia simu iwe mchana au usiku ila anajiskia vibaya tu mie sijali kuhusu yeye.

Sasa nimeshindwa kujua anataka nini maana nimemwambia mie simu kwangu ni kiofisi zaidi sina muda wa stori hivyo sitoweza kukaa napiga piga simu, kama vipi tuachane kila mtu afanye mambo yake lakini hataki hiyo option ya kuachana anasema anataka nijirekebishe. Hapo najirekebisha nini wadau?
We jamaa jau sana kwanini humanities, hao viumbe wanapenda kutafutwa, wanajisikia wako mikono salama, sababu yako ya kutomtafuta ni nn?? we ndo mwenye makosa, omba msamaha then badilika mzee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom