The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 813
Daaaah... vry interesting
Cna = sina
Cku=siku.
Vipi hapo kweny "me" unamaanisha nini?
Mwanaume mkali❌
Au mimi mkali❌
Kutokana na maandishi yako.
Edit post hiyo kila mtu aelewe
mrekebishaji. mazoea nayo mabaya sana
ila kuna muda flani hivi kugombezwa kuna rahaAisee
Wapenzi wa siku hizi
Uthubutu wa kugombezana mnautoa wapi???????
Watu wazima huzungumza sio kugombezana
ila kuna muda flani hivi kugombezwa kuna raha
nakumbuka kipindi flani nilikua natoka toka na mashostito kupata vijilager
napigiwa simu kwa ukali uko wapi? Nipo hapa sijui nini nini bar fanya haraka urudi
baada ya dakika kadhaa napigiwa tena anaongea kwa ukali umefika wapi?
i used to enjoy kwakweli teh uchizi flani amazing