Mpenzi wangu analalamika eti mimi ni mkali sana

Mpenzi wangu analalamika eti mimi ni mkali sana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,073
Reaction score
16,629
Mambo vipi wanaume wenzangu?

Wakuu, ni week sasa inakatika sina mawasliano na mpenz wangu, sababu ni kuwa nilimgombeza kwa kuwa alisafiri kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingne pasipo kuniaga.

Nilipomuhoji na akanipa majibu mepesi me kwa kweli nilimgombeza sana na tangu siku hiyo tumenuniana hakuna calls wala texts.

Sasa jana nikawa napiga story na mdogo wake ndio akanambia dada yake analalamika kuwa me mkali sana na hivyo anahofia siku tukioana labda ntakua namdunda.

Sasa wakuu, me huyu baby wangu nampenda sana na sitaki kutengana nae kwa sababu zinazotatulika kama hizo anazozisema.

Nifanyaje ili nisiwe mkali kwa baby wangu au niishi vipi na yeye pasipo yeye kuniona me mkali?
 
Anza kuishi kimaigizo mkuu. Hata akikuudhi unatakiwa kuvumilia tu huku ukionyesha tabasamu muda wote. Kwa kifupi unapaswa kuishi kama wanavyofanya kwenye hizi tamthiliya zao wanazopenda kutazama
 
Cna = sina
Cku=siku.
Vipi hapo kweny "me" unamaanisha nini?
Mwanaume mkali❌
Au mimi mkali❌
Kutokana na maandishi yako.
Edit post hiyo kila mtu aelewe
 
  • Thanks
Reactions: nao
We jifunze ujasiri wa kupotezea, ila hilo bonge la foul tang'ana
 
Last edited by a moderator:
Demu wako watu wanakula wazi wazi. Jipange kula kona... Ukiendelea kukomaa utaaibika vibaya
 
Kusoma hujui na hata picha huoni???

Khaaa Ngashtuka chalii angu....
Unagongewa manzi uyo stuka kimbia mbali jamaa
 
55047078.jpg
 
Kwa mtu anayekupenda,kukuthamini na kuheshimu uhusiano wenu hawezi kwenda mahala bila kukuaga hata kama ni ghafla.........tafsiri yake hapo ni kuwa huyo b dada hakutambui kama upo........haheshimu uwepo wako.......!
 
Mara akija kwako hakusaidii kazi, mara akanya mbele yako, sasa hakuagi safari, vipi kwani ndio yule alokuwa anataka hela zako? Hizi story zako zina episod ngapi?

Hahaha
 
tang'ana

Em'tafuteni chui aishi nae alafu uje utuambie anasemaje kuhus wew na chui kama wew ni mkal
 
Last edited by a moderator:
Hajui mahaba huyo shurti upigwe bit kidogo ili love iongezeke
 
Mara akija kwako hakusaidii kazi, mara akanya mbele yako, sasa hakuagi safari, vipi kwani ndio yule alokuwa anataka hela zako? Hizi story zako zina episod ngapi?

Ahaha..Duhh
 
Back
Top Bottom