Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
heheheheheeheheeh hakianani ameboog meeeeenif that's is the case..then go figure buddy!
You might not be walking alone....
heheheheheeheheeh hakianani ameboog meeeeenif that's is the case..then go figure buddy!
You might not be walking alone....
hahaha sasa ndio umejua kuwa wanawake wakoje..mwanamke wa dunia ya sasa kugegedqa na njemba mmoja ni ndoto...hawa wanapenda sana kutaste dushelele tofauti tofauti.....wamege na kusepa kaka
hahaha sasa ndio umejua kuwa wanawake wakoje..mwanamke wa dunia ya sasa kugegedqa na njemba mmoja ni ndoto...hawa wanapenda sana kutaste dushelele tofauti tofauti.....wamege na kusepa kaka
Kaka hiyo anayodai ni yangu hata hainitoshi (over-size) na materials yake ni nylon, zangu ni cotton
Mara zote huwa napenda kufikiria nje ya box...
Hapo mahali huyo manzi wako anaishi ni nyumba ya kupanga?...kuna wapangaji wanaume?...kama majibu yatakua ni ndio basi kuna uwezekano katika uanuaji wa nguo, manzi wako alianua na za majirani.
Pili nina imani kubwa kabisa kuwa huyo dada hajacheza faulo yoyote, sidhani kama angejiamini kiasi cha kuvaa vest ya mtu mwingine akijiaminisha ni yako(kumbuka umetudokezea kuwa hupenda kuvaa vests zako).
Tuache kucremisha au kuwajumuisha wanawake wote kwa sababu ya mwanamke mmoja...tupo wanawake wenye kua na mpenzi mmoja....mume pekee bila ya kua na dushe pembeni..
hiyo inawezekanaAmechanganya madesa
duh!na kweli akapime tukimsingi bro mmebadilishana
singlet na mme mwenza, na inaonekana huyo mwenzako ni bonge la mtu (
singlet ni over size). hii ni hatari kwako maana siku mkifumaniana
atakukunja kama karatasi. kujua kama uko salama ni vema ukapima ngoma na
kuchukua maamuzi ya busara.
no singlet na parfume jamaa ameviangalia na kusikilizia manukato ni tofauti na vyake!!!!this is funyy
Ni kwamba mdada ana vidume viwili na vyote ninavaa singlet na kutumia perfume zinazofanana ...
duh lol