We naye likuku kweli kweli, eti mpenzi wako...acha kusumbua wapenzi wa watu. Kama unaweza kulala na demu na usimfanye chochote na bado wenzako wakiweka mimba unakodoa macho ya mshangao, mzima kweli wewe chini na juu? Tokea form four, nyokooo...sasa advance level.Mchango wa mawazo jamani,
Kuna msichana nime-date naye toka niko Form IV lakini tukawa tunaishi mbalimbali, ikatokea siku nikaenda aliko yeye maana yeye yuko tu nyumbani na mimi niko Chuo sasa hivi na tukalala wote bila kufanya chochote ila sikujua kwanini ilikuwa vile.
Siku iliyofuata nikaondoka nikarudi ninakoishi ikapita wiki katika stori akanambia ana mimba nikamuulza imekuaje tena akanambia bahati mbaya tu ila nakupenda wewe. Nikamuulza ilkuwaje mpaka ukaamua kufanya hivyo jibu likabaki bahati mbaya tu.
Sasa mnanishauri vipi niachane naye au vipi lakini nampenda kweli.
Nimekuaminia mzee babaSijasoma hata thread kichwa cha uzi tu kinaonyesha unakiwango kikubwa cha matatzo/uboya
Haya ushaur wangu nenda na ww ukapewe
Mchango wa mawazo jamani,