HakikaInaonekana anajutia kupata mimba, ila sio kulala na mwanaume mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchango wa mawazo jamani,
Kuna msichana nime-date naye toka niko Form IV lakini tukawa tunaishi mbalimbali, ikatokea siku nikaenda aliko yeye maana yeye yuko tu nyumbani na mimi niko Chuo sasa hivi na tukalala wote bila kufanya chochote ila sikujua kwanini ilikuwa vile.
Siku iliyofuata nikaondoka nikarudi ninakoishi ikapita wiki katika stori akanambia ana mimba nikamuulza imekuaje tena akanambia bahati mbaya tu ila nakupenda wewe. Nikamuulza ilkuwaje mpaka ukaamua kufanya hivyo jibu likabaki bahati mbaya tu.
Sasa mnanishauri vipi niachane naye au vipi lakini nampenda kweli.

An kaipata before me cjaenda[emoji4][emoji4]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂 😂 😂 😂
I second you mdogo wangu.!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Someni kwanza achaneni na mapenzi
[emoji3][emoji3]Ticha bahati mbaya tu hiyo.
watoto bhana 😛 😛 😛Mchango wa mawazo jamani,
Kuna msichana nime-date naye toka niko Form IV lakini tukawa tunaishi mbalimbali, ikatokea siku nikaenda aliko yeye maana yeye yuko tu nyumbani na mimi niko Chuo sasa hivi na tukalala wote bila kufanya chochote ila sikujua kwanini ilikuwa vile.
Siku iliyofuata nikaondoka nikarudi ninakoishi ikapita wiki katika stori akanambia ana mimba nikamuulza imekuaje tena akanambia bahati mbaya tu ila nakupenda wewe. Nikamuulza ilkuwaje mpaka ukaamua kufanya hivyo jibu likabaki bahati mbaya tu.
Sasa mnanishauri vipi niachane naye au vipi lakini nampenda kweli.
Utoto raha sana 😅🤣😂 😂 😂 😂
I second you mdogo wangu.!!
achana na mapenzi soma kwanza bado mtoto wewe...So wat
Wewe mbona mapenzi ulianza LA sita?Someni kwanza achaneni na mapenzi