Mpenzi wangu ana mimba ya mtu mwingine. Ushauri wako

Mpenzi wangu ana mimba ya mtu mwingine. Ushauri wako

Mchango wa mawazo jamani,

Kuna msichana nime-date naye toka niko Form IV lakini tukawa tunaishi mbalimbali, ikatokea siku nikaenda aliko yeye maana yeye yuko tu nyumbani na mimi niko Chuo sasa hivi na tukalala wote bila kufanya chochote ila sikujua kwanini ilikuwa vile.

Siku iliyofuata nikaondoka nikarudi ninakoishi ikapita wiki katika stori akanambia ana mimba nikamuulza imekuaje tena akanambia bahati mbaya tu ila nakupenda wewe. Nikamuulza ilkuwaje mpaka ukaamua kufanya hivyo jibu likabaki bahati mbaya tu.

Sasa mnanishauri vipi niachane naye au vipi lakini nampenda kweli.
Ishi nae kwa bahati mbaya
 
Aiseeh we chiboko kweli,
Unaendaje kulala kwa dem bila kufanya cho chote? Kama anakupenda iweje abebe mimba ya mwingine eti bahati mbaya! Na we unakiri unampenda poa ukipenda boga ................
Mzazi kauza ng'ombe anaenda kusomesha ng'ombe Sorry
 
lea tu umezawadiwa hiyo mimba ndo maana anakuambia anakupenda wewe 😂😂😂😂
 
Hivi wasichana ambao hawa na mimba wameisha? Mbona mnatuchosha? Hilo shaka tiyari kina mgogoro
 
Mchango wa mawazo jamani,

Kuna msichana nime-date naye toka niko Form IV lakini tukawa tunaishi mbalimbali, ikatokea siku nikaenda aliko yeye maana yeye yuko tu nyumbani na mimi niko Chuo sasa hivi na tukalala wote bila kufanya chochote ila sikujua kwanini ilikuwa vile.

Siku iliyofuata nikaondoka nikarudi ninakoishi ikapita wiki katika stori akanambia ana mimba nikamuulza imekuaje tena akanambia bahati mbaya tu ila nakupenda wewe. Nikamuulza ilkuwaje mpaka ukaamua kufanya hivyo jibu likabaki bahati mbaya tu.

Sasa mnanishauri vipi niachane naye au vipi lakini nampenda kweli.
Maamuzi yapo juu yako mwenyewe
 
nafanya maombi kwanza.........................!!!!!!!!!!!
 
Lea mimba na mtoto ww ivi unajua kuwa kumpa mtu mimba sio kazi ndogo dogo ww lala nae mtazame mabaharia wanatia mimba kweli tena wanashindilia yoteee aya lea tu watu washakusaidia.
 
Back
Top Bottom