Mpenzi wangu ana mimba ya ex wake

Kuna kademu nilikuwa naka mind kitambo tu ...tukaja tukapoteana baadae tulipokutana akaniambia yu mjamzito NA aliyempa mimba alifarik dunia hivyo akaniomba tuwe wapenz .....baada ya hapo nahic aliniona kiumbe katili sana
 
Ah.... Weweee jitoe ufaham mukuuu! Wenye vimimba uwa ni watamu so kam vp u jus jifanye hujali wala nn.... Endeleza kupiga mashine, ictoshe mmekutana majuz tu thus haitoathiri vyvyte...

Akikuuliza gharama za malez ya ujauzito.. we ni kidume... hop jibu utakua nalo!
 
Lakini Jana ameniambia kuwa ana mimba na ni mimba ya MTU aliyekuwa naye kabla. Ameniomba tuachane kwa kuwa anahisi hanifai tens...hadi sasa nipo dilemma...
Hizi ni akili za wavulana kabisa................🙁
 
Huna akili
 
Ukiona umependwa jua kuna fala kaachwa na ukiona umeachwa jua kuna mjanja kapendwa
Hapo kuna vitu vitatu
1. Mpenzi wako
2. Mimba
3. X wake
Ukivifanyia colabo utapata featuring moja matata sana😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…