Mpenzi wangu ana mimba ya ex wake

We vipi umeshawah wasiliana na x wako hata mmoja na nn kilitokea? Mnaweza mkawa mnadaiana madeni labda...sio lzm kupigana mti. Labda km gemu ilikua ya kibabe[emoji38]
Binafsi sijawahi na Sitaki maana nayajua madhara nisije nikataka kujikumbushia Bure. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna cha madeni wala nini bora Ungesema wanalea watoto hivyo wanaulizana wanaendeleaje[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Binafsi sijawahi na Sitaki maana nayajua madhara nisije nikataka kujikumbushia Bure. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna cha madeni wala nini bora Ungesema wanalea watoto hivyo wanaulizana wanaendeleaje[emoji1][emoji1][emoji1]

Doh[emoji29]
 
mkuu kwanza ni jambo la kumshukuru mungu umeambiwa ukweli kua mimba sio yako sasa unacho itaji ushauri ni wa nini tena hapo kijana kua na msimamo kwenye kila jambo lako hususa kwenye mahusiano mapenzi sio vitu vya kuchezea utakuja kujata kwenye maisha yako yote kua umelea mtt sio wako na mwanamke bado akakuletea nyodo na kuendelea na baba watoto wake acha ujinga fanya maamuzi yako sasa
 
Ivi miss chaga ulipokus mtoto ulivalishwa zile senti zazaman zenye kitobo katikat ???? Au ulichanjiwa majivu ya ile noti ya miambili ???? Au ulinyweshwa maji ya noti nasaraf zilizochemshwa ????? Au vyote kwa pamoja ??

Maana unajua Pesa mnoo
Hivi mnanichukuliaje wakuu...Mimi nipo na yeye kwa muda wa wiki tatu tu..na Nina papuchi zilizo chini ya himaya yangu na Nina uwezo was kuzitafuna muda wowote nikitaka...kinachoniuma ni kuwa kwa mini sniache wakati sijqmtafuna...mchungaji hata akiwa na kondoo mia mmoja akipotea huwaacha wote na kumtafuta yule mmoja
 
Ni ex wake au wewe ndiye ex sasa?
 
Kama vipi si umsaidie kuibeba tu...

Siku zote kumbuka kijana, demu wako wa sasa ni ex wa njemba fulani hivyo lolote linaweza kutokea...
 
Usiwe mjinga kiasi hicho.muache huyo mwanamke usije lia machozi mbele ya safari.umeiazimisha akili yako nini ndugu?
 
Mkuu nenda Nyumbani toka hapo Dilemma usiku kunakuwaga na mbu sana hapo
 
Mada ingeandikwa hivi "NIMPENDAE ANA MIMBA YA MPENZI WAKE" ingependeza sana
 
Mkuu Faida hiyo, Umenunua ng'ombe na unategemea kupata ndama wa bure soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…