Mpenzi wangu ana mimba ya ex wake

Haya mambo ni simple tu brother usitishwe na maoni ya watu humu,ni hiv kama ulikuwa umemuweka ktk usahili WA ndoa mtoe,muweke ktk kundi LA kutolea nyege tu,endelea kutolea nyege mpaka hapo utakapoona umemchoka piga chini.
 
Ivi miss chaga ulipokus mtoto ulivalishwa zile senti zazaman zenye kitobo katikat ???? Au ulichanjiwa majivu ya ile noti ya miambili ???? Au ulinyweshwa maji ya noti nasaraf zilizochemshwa ????? Au vyote kwa pamoja ??

Maana unajua Pesa mnoo
Ha ha mkuu yote majibu
 
We ndo ulikuwa unampenda sana mwenzio usimsemehee
 
Watu wengine bhana shukuru kwa kuambiwa ukweli "au una nyota ya ubaba wa kambo"
 
Changa la macho, ameona kuna kitu hauko sawa kaona akwambie kitu hauna jinsi bali kukubali.
 
Kwanza mpka kuwa na mimba ya x wako hiyo inatosha kwamba cyo wako so usitafute ushauri cz hata ukiambiwa uendelee nae sidhani km utakubali so tusichorane bhana kha!
 
Duuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!! Sasa unataka ushauri gani???? Mbuzi kafia kwa muuza bucha.... Umevuvishwa unakataa???? Kama vp muoe kabisa kwani wahenga walinena "Kitanda hakizai haramu"
 
je umempenda?,kama jibu ni ndio endelea naye ,mpende huyo mtoto kama unavyompenda mama yake,good luck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…