xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,290
atakwambia? we jiaminishe tu!!
Hahahaaa nilitegemea kuna mtu atakuja kuuliza swali kama hilo.
Mkuu unless awe anatumia mbinu za Alcaida kufanya mawasiliano lakini kama anatumia ICT kufanya mawasiliano basi I can monitor each and everything.kwahiyo nina uhakika sio kama najiaminisha mkuu