Mpenzi wangu,amenikabidhi mdogo wake

Mpenzi wangu,amenikabidhi mdogo wake

Wapemba wanasema kujamba mtoni. Hapa umekuja kujitia aibu tu.
 
Nashindwa cha kukusaidia!
Title ina sema mpenzi wangu kani kabidhi mdogo wake(hapa na kataa huyu si mpenzi wako tafuta jina ligine)

Na jiandae kuendelea kutembea nao wawili.

Wakuu Naimani mu wazima Wa Afya.
Kuna Demu wangu mmoja Mjaluho,tulikuwa tunapendana sana.Katika Mapenzi yetu,Demu huyu Alikuwa ana Mchumba wake ambaye mimi niliwakuta Wakiwa Pamoja.Demu huyu kwa hakika,hakuwa na Mapenzi ya Dhati kwa Mchumba wake huyo,kutokana na Wazazi wake Kumlazimisha aolewe na Bwana huyo mwenye Mtoto Mmoja.

Demu huyu alikuwa na Mdogo anayesoma Chuo cha Uhasibu Singida,ambaye Hakuwa anajua Mahusiano yetu ya Kimapenzi na Dada yake.

Siku 5 kabla ya Harusi yake,alinijulisha mimi kwamba,kutokana na Yeye kunipenda sana Mimi,anakwenda Kuolewa lakini inabidi anitongozee Mdogo wake huyo,ili niwe naye Kimapenzi Badala yake yeye..

Kufumba na Kufumbua,kweli bwana,Demu wangu alimpigia cm Mdogo wake,na kumwambia kuwa,kuna Mtu anakutaka kimapenzi,na Ametulia na kwa hakika atakufaa sana kimaisha..Akanipa Namba zake,nami nikamalizia Mwanzo wa Demu wangu alipoishia Kunitongezea..

Mpaka Dakika hii,Wandugu,Natembea Kimapenzi na Shemeji yangu,na Mbaya Zaidi,tunapendana Sana..

Naomba,kuwasilisha!
 
wewe unataka tukushauri nini hasa???? i think hii mada ni for pleasure tu, hasa baada ya kumaliza kazi
 
Kwa kifupi huyo msichana kakupa mdogo wake lakini bado anakupenda,utaleta vita ya kifamilia huyo mpenzi wako atakapojua kwamba ulikuwa mpenzi wa dada yake, na sina hakika kama huyo dada mtu feelings zake zimeisha kwako,kwa sababu utaweza muoa huyo mchumba, mkakaa miaka, then huyo dada mtu akaanza kujileta tena,kwakweli ngumu sana
 
Moderators wa JF ndio huwa hapa wananishangaza, topic za kijinga majukwaa mengine zinafutwa faster, lakini jukwaa hili topic za kipumbavu inaonekana kama ndiyo nyumbani kwake. sasa hii nayo ni thread?

Sasa kama sio thread ni nini jamani, mbona sasa umechangia! Unaongeza tu urefu.

Au leo hauko kwenye mudi.
 
dah jamani namuonea gele kweli kweli yaani ana chance ya kumega dada na mdogo mtu. aibu!!
wee mwambie jamaa ajienjoy tuu hamna shida hapo full burudani tuu
 
hahahahaaaa....!!! umenchekesha eti dunia inaisha wakati wewe ndo unaimaliza. wagonge wote. Mkubwa akija gonga, mdogo akipanua mpe dawa hadi wote wawe na mimba kama unapendezwa. mia
 
Moderators wa JF ndio huwa hapa wananishangaza, topic za kijinga majukwaa mengine zinafutwa faster, lakini jukwaa hili topic za kipumbavu inaonekana kama ndiyo nyumbani kwake. sasa hii nayo ni thread?

Sasa kama sio thread ni nini jamani, mbona sasa umechangia! Unaongeza tu urefu.

Au leo hauko kwenye mudi.
 
Hapo hakuna haja ya ushauri kwani unamgonga endapo angezingua hapo sawa.Endelea kula vyako ndugu
 
Back
Top Bottom