BashiriOnline
Senior Member
- Nov 5, 2012
- 127
- 44
Wakuu!
Kuna Jamaa yangu mmoja hivi,alinipa Story flani kuhusu Demu wake Mmoja Mjaluho,kwamba..Demu huyu kwanza pindi anatembea na Rafiki yangu,alikuwa ana Mchumba wake ambaye mchumba huyo,alitafutiwa na Ndugu zake!!!!
SIKU 5 KABLA YA NDOA YAKE,DEMU HUYU AMBAYE ANAONEKANA ALIKUWA NA MAPENZI YA DHATI SANA KWA JAMAA YANGU,ALIMWAMBIE RAFIKI YANGU KWAMBA,KULIKO AWE NA MWANAMKE MWAINGINE,BORA AMKABIDHI MDOGO WAKE AWE NA MAHUSIANO NAYE YA KIMAPENZI...
Jamaa hakuamini kama inawezekana,Demu wake akamwambia kuwa,ngoja ampigie Mdogo wake huyo,ambaye kwa Bahati mbaya sana Hakujua mahusiano yao Kimapenzi..Demu akamuunganishia kwa Mdogo wake,jamaa akakabidhiwa namba ya Cm ya Shemeji yake huyoo..Jamaa akawa anawasiliana na Shemeji yake...
KUFUMBA NA KUFUMBUA,JAMAA AKAWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA SHEMEJI YAKE HUYO,NA MBAYA ZAIDI WAKAWA WANAPENDANA KUZIDI HATA PINDI YUPO NA DADA YAKE...HIVI SASA DEMU HUYU (SHEMEJI YAKE) ANA MIMBA..
Mbaya Nyingine ni Demu wake aliyeolewa,kule Kwenye Ndoa Yake,inaonekana halizishwi Vizuri,Demu anamsumbua sana Jamaa kuwa ajitahidi wawe wanakutana naye Kimapenzi kwa njia ya Wizu...
HII IMEKAAJE WAKUUU.
N.B MATUSI HAYATAKIWAI KTK UCHANGIAJI,LENGO NI KUELIMISHANA NA KUWEKANA SAWA...THAT IS TRUE STORY WAKUU..DUNIA IMEKWISHA