Mpenzi wangu,amenikabidhi mdogo wake

Mpenzi wangu,amenikabidhi mdogo wake

Wakuu Naimani mu wazima Wa Afya.
Kuna Demu wangu mmoja Mjaluho,tulikuwa tunapendana sana.Katika Mapenzi yetu,Demu huyu Alikuwa ana Mchumba wake ambaye mimi niliwakuta Wakiwa Pamoja.Demu huyu kwa hakika,hakuwa na Mapenzi ya Dhati kwa Mchumba wake huyo,kutokana na Wazazi wake Kumlazimisha aolewe na Bwana huyo mwenye Mtoto Mmoja.

Demu huyu alikuwa na Mdogo anayesoma Chuo cha Uhasibu Singida,ambaye Hakuwa anajua Mahusiano yetu ya Kimapenzi na Dada yake.

Siku 5 kabla ya Harusi yake,alinijulisha mimi kwamba,kutokana na Yeye kunipenda sana Mimi,anakwenda Kuolewa lakini inabidi anitongozee Mdogo wake huyo,ili niwe naye Kimapenzi Badala yake yeye..

Kufumba na Kufumbua,kweli bwana,Demu wangu alimpigia cm Mdogo wake,na kumwambia kuwa,kuna Mtu anakutaka kimapenzi,na Ametulia na kwa hakika atakufaa sana kimaisha..Akanipa Namba zake,nami nikamalizia Mwanzo wa Demu wangu alipoishia Kunitongezea..

Mpaka Dakika hii,Wandugu,Natembea Kimapenzi na Shemeji yangu,na Mbaya Zaidi,tunapendana Sana..

Naomba,kuwasilisha!

Join Date : 5th November 2012
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received 2
Likes Given 0

Kweli JF imeingiliwa!!!
 
kama wewe mwenyewe umekubali unataka nini tena ucwe kama mbulula
 
............
.............
Kufumba na Kufumbua,kweli bwana,Demu wangu alimpigia cm Mdogo wake,na kumwambia kuwa,kuna Mtu anakutaka kimapenzi,na Ametulia na kwa hakika atakufaa sana kimaisha..Akanipa Namba zake,nami nikamalizia Mwanzo wa Demu wangu alipoishia Kunitongezea..

Mpaka Dakika hii,Wandugu,Natembea Kimapenzi na Shemeji yangu,na Mbaya Zaidi,tunapendana Sana..

Naomba,kuwasilisha!

kwa hiyo mnatembea kuelekea wapi? Manyoni au Igunga?
 
umewasilisha ila hoja yako........................:blah::nimekataa:A S 112::nono::nono::nono:
 
Hii dunia sielewi tunakoelekea kila siku utasikia jipya mwe..
 
haswaaa wacha jamaa ale mema ya nchi watu hapa wanavyotoka povu utadhani wao ni waadilifu..mimi mwenyewe kuna mademu kama 4 wote wanajua nina demu wangu lakini wanakuja kunivulia chupi sasa mimi nifanyaje? hata sijawatongoza?
Kweli mkuu ifike point tuwe wakweli tuuu ... kama wakijelengesha kwa nini usiwape huduma??
Kwanza ni haramu kwa mwanaume kukimbia pambano...
 
HorsePower mambo mengine sio ya kuchangia wala kujiuliz amaswali mengi
Sasa kashatembea nae hapa anakuja kuuliza nini
Si ashakubaliana nae kuwa wanapendana na shemeji mtu kashafanya yake
Ac hunguze mpaka maini kama anamfaa anendelee nae sisi hatuna la kusema angekuja hapa kabla hata ya kutembea nae tungesema mengine
hapa ashakiri kabisa kuwa anampenda sasa sisi tumwambieje amchukie
Hiyo sio kazi yetu
 
Last edited by a moderator:
Acha kutuletea upuzi na unafundisha jamii kitu gani. Hapa ni mahalli pa kufundisha jamii na wewe unapotosha jamii, Unachofanya wewe ni laana. Imeandikwa kwenye neno la Mungu amelaaniwa mtu alalaye mtu na dada yake. Ukome na siku nyingine. Wewe umeniudhi sana leo. Unafikiri unachofanya ni mazuri.

Hapa inabidi tuongee vizuri!Neno liko kitabu gani hili,maana Yakobo alibarikiwa lakini alikoa Dada na mdogo wake wa tumbo moja!
 
Wakuu Naimani mu wazima Wa Afya.
Kuna Demu wangu mmoja Mjaluho,tulikuwa tunapendana sana.Katika Mapenzi yetu,Demu huyu Alikuwa ana Mchumba wake ambaye mimi niliwakuta Wakiwa Pamoja.Demu huyu kwa hakika,hakuwa na Mapenzi ya Dhati kwa Mchumba wake huyo,kutokana na Wazazi wake Kumlazimisha aolewe na Bwana huyo mwenye Mtoto Mmoja.

Demu huyu alikuwa na Mdogo anayesoma Chuo cha Uhasibu Singida,ambaye Hakuwa anajua Mahusiano yetu ya Kimapenzi na Dada yake.

Siku 5 kabla ya Harusi yake,alinijulisha mimi kwamba,kutokana na Yeye kunipenda sana Mimi,anakwenda Kuolewa lakini inabidi anitongozee Mdogo wake huyo,ili niwe naye Kimapenzi Badala yake yeye..

Kufumba na Kufumbua,kweli bwana,Demu wangu alimpigia cm Mdogo wake,na kumwambia kuwa,kuna Mtu anakutaka kimapenzi,na Ametulia na kwa hakika atakufaa sana kimaisha..Akanipa Namba zake,nami nikamalizia Mwanzo wa Demu wangu alipoishia Kunitongezea..

Mpaka Dakika hii,Wandugu,Natembea Kimapenzi na Shemeji yangu,na Mbaya Zaidi,tunapendana Sana..

Naomba,kuwasilisha!

Kwa Majaluo hiyo kitu ni kawaida sana na hawana wivu.

Acha hawara hata kwa waume zao wanafanya hivyo na hakuna mwiko! Nimeshuhudia kwa jirani yangu Mjaluo.
 
Wewe hujui tu, mwenzio alikudharau akaona hauna hadhi ya kuwa na yeye ndo maana akakutafutia mdogo wake. We mtu mzima unatafutiwa demu??? Unajua tabia zake huyo demu? Unajua historia yake? afya yake je? Amsha akili kaka! nivea, Kaunga, Mr Rocky, nyumba kubwa, snowhite, SnowBall njooni mumshauri ndugu yenu!!!

mh!mi nimeshindwa kumshauri!he seem to be okey sasa analalamika nini?
 
hahahahaaaaaaaaaaa, ila kwa wajaluo hiyo inawezekena.
 
HorsePower mambo mengine sio ya kuchangia wala kujiuliz amaswali mengi
Sasa kashatembea nae hapa anakuja kuuliza nini
Si ashakubaliana nae kuwa wanapendana na shemeji mtu kashafanya yake
Ac hunguze mpaka maini kama anamfaa anendelee nae sisi hatuna la kusema angekuja hapa kabla hata ya kutembea nae tungesema mengine
hapa ashakiri kabisa kuwa anampenda sasa sisi tumwambieje amchukie
Hiyo sio kazi yetu

Labda kichwani mwake alifikiri ni ufahari kutembea na mtu na mdogo wake, upuuzi mtupu! Wenzie wanamfanya sehemu ya kuburudika ikifika wakati wa kuolewa wanaolewa na watu wengine huku yeye amekaa tu na kufurahia yanayoendelea huku anapoteza muda wake bure. Sijui na mawazo ya namna gani haya!!! Anapoteza utu wake kizembe hivi.
 
Wewe ndo wale wale, twisted mind..! We are here to learn, share great things. Hizi porojo wapelekee malofa wenzako
 
This is kind of stupid topic. Acha kutueleza mambo ambayo hayana maana, ungekuwa unasikitika tungeshauri lakini inaoneka unafurahia ulichokifanya. Ndugu jaribu kuwa mstaarabu, kumbuka unachomfanyia mwenzako na wewe utakuja kufanyiwa hivyo hivyo. Usipotubu hiyo dhambi siku ukija kuoa mke wako naye atafanywa hivyo hivyo na mwanaume/wanaume wengine. Halafu pia inaonekana wewe ni mshamba kweli wa mapenzi. Take care of yourself.
 
Duh kwel mapenzi yamekunogea mpaka unapost kwenye newz alert!
na hivi kweli ana mapenzi ya kweli huyu jamaa!!hapo hata mimi nikimwambia nimemtongozea mtu ata chukua na kusema anampenda sana!!!
 
Ulizia kama kuna mdogo wao mwingine uwapitie wote, then uandike kitabu
 
Back
Top Bottom