Mpenzi wangu amejaribu kujiua mara mbili

Sio kujiua tu ipo siku atakuua na wewe akupige bisu moja la tumbo sababu ya wivu hasira za kipuuzi hizo

We ni kitombi cha kukusaidia Tafuta safari ya uongo nje ya mkoa sepa kaa almost miezi miwili mblock kabisa asikusikie atakua kashakusahau hata hvyo ni advantage hata akijiua atajiua kwao so hautakuwa na kesi wala msala .

Achana nae atapata ampendae

Sent using Jamii Forums mobile app
*****...nunua nyagi na balimi ntakuja lipia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Wapwa!

Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano zaidi ya miaka miwili sasa, tunapendana na tulikuwa na mipango ya kuoana hivi karibuni.

Tatizo kubwa alilonalo huyu binti ni hasira za karibu hasa ikitokea akajua nimechepuka. June 2019 aligundua nina mahusiano na binti mwingine, akaniuliza nikakataa baada ya kuweka mitego akaninasa. Ilikuwa purushani hadi akafikia hatua ya kununua dawa na kujaribu kunywa, bahati nzuri niliwahi kumnyang'anya. Hii ikapita!

Juzi tena ameninasa nachepuka, akarudia yaleyale ya mwaka jana. Hapa alikunywa dawa kabisa akijaribu kujiua, bahati nzuri tulijitahidi kumuokoa na akapona.

Tokea hapo moyo wangu umeingiwa na ubaridi juu ya huyu binti, najaribu kuwaza; Je ana roho nyepesi kiasi hiki kweli anatahimili mikikimikiki ya ndoa? Kama trails ameshindwa je movie ataweza kucheza. Je mara ya tatu si ndio atakufa kabisa.

Labda kuna mtu amewahi kukutana na mwanamke mwenye tabia kama hii, naomba ushauri wenu please.
Tulia wewe,acha kuchepuka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema tena naongea Kwa hasira kwann unaadika ujinga? Afu mbona unakosa uaminifu? Sasa umekuja hapa jukwaani kufata nn wakati unakuwa mjinga kiasi hiki kuchezea hisia za huyo binti vijana wa Siku hizi mnakera sana,Basi usingempenda tangu mwanzo akampata mtu mstaatabu na Mwaminifu ujinga kabisa.
Mkuu nadhan ungemsema kwa kushindwa kufanya mambo yake kwa siri ili asifumwe swala la kuchepuka kwa mwanaume kawaida tena lina nafasi kubwa
 
Lets start by discussing hiyo tabia yako ya kuchepuka
Habari Wapwa!

Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano zaidi ya miaka miwili sasa, tunapendana na tulikuwa na mipango ya kuoana hivi karibuni.

Tatizo kubwa alilonalo huyu binti ni hasira za karibu hasa ikitokea akajua nimechepuka. June 2019 aligundua nina mahusiano na binti mwingine, akaniuliza nikakataa baada ya kuweka mitego akaninasa. Ilikuwa purushani hadi akafikia hatua ya kununua dawa na kujaribu kunywa, bahati nzuri niliwahi kumnyang'anya. Hii ikapita!

Juzi tena ameninasa nachepuka, akarudia yaleyale ya mwaka jana. Hapa alikunywa dawa kabisa akijaribu kujiua, bahati nzuri tulijitahidi kumuokoa na akapona.

Tokea hapo moyo wangu umeingiwa na ubaridi juu ya huyu binti, najaribu kuwaza; Je ana roho nyepesi kiasi hiki kweli anatahimili mikikimikiki ya ndoa? Kama trails ameshindwa je movie ataweza kucheza. Je mara ya tatu si ndio atakufa kabisa.

Labda kuna mtu amewahi kukutana na mwanamke mwenye tabia kama hii, naomba ushauri wenu please.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nadhan ungemsema kwa kushindwa kufanya mambo yake kwa siri ili asifumwe swala la kuchepuka kwa mwanaume kawaida tena lina nafasi kubwa
Sio kweli labda Kwa upande wako,usisemee tabia yako zifanane na wengine me Njinsia ya kiume mbona hizo ajili chafu sina
 
Back
Top Bottom