Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,409
- 100,623
Hayo ndio maisha, kule unakopenda hupendwi, kule usikopendwa ndio unaprnda! Tulia kijana. Ukimwi unatesa sana sana
Hakuna aliyekamilika. Simama uendeleee mbele. Mungu wako akulindeNisamehe sana mkuu, kama kijana kuna kipindi tamaa zinanishinda pia shetani ananipitia.
Sent using Jamii Forums mobile app