Mpenzi wangu amejaribu kujiua mara mbili

Habari Wapwa!

Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano zaidi ya miaka miwili sasa, tunapendana na tulikuwa na mipango ya kuoana hivi karibuni.

Tatizo kubwa alilonalo huyu binti ni hasira za karibu hasa ikitokea akajua nimechepuka. June 2019 aligundua nina mahusiano na binti mwingine, akaniuliza nikakataa baada ya kuweka mitego akaninasa. Ilikuwa purushani hadi akafikia hatua ya kununua dawa na kujaribu kunywa, bahati nzuri niliwahi kumnyang'anya. Hii ikapita!

Juzi tena ameninasa nachepuka, akarudia yaleyale ya mwaka jana. Hapa alikunywa dawa kabisa akijaribu kujiua, bahati nzuri tulijitahidi kumuokoa na akapona.

Tokea hapo moyo wangu umeingiwa na ubaridi juu ya huyu binti, najaribu kuwaza; Je ana roho nyepesi kiasi hiki kweli anatahimili mikikimikiki ya ndoa? Kama trails ameshindwa je movie ataweza kucheza. Je mara ya tatu si ndio atakufa kabisa.

Labda kuna mtu amewahi kukutana na mwanamke mwenye tabia kama hii, naomba ushauri wenu please.
Yaaani wanaume baana yaani mnapenda kunalalisha kuchepuka...Ningesema Mimi nachepuka matusi yake nisingelala...

Ila mi najua nikichepuka naachwa..nabado nachepuka nasubiria TU Siku nikamatwe niachwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mantiki ya Upendo kupenda kwelikweli ,atakua Kibonge.
Huyo demu ni kibonge??

NB:I don't mean to offend anybody
Kwa mantiki ya kununa .nuna ovyoovyo ,kukasirika...atakua ni mwembamba.

Vibonge wengi wao wanapenda kula, kufurahi,kucheka, ..sio watu wakununa au kukasirika ovyo...

Ukimuudhi ,kidogo keshasahau.
 
Acha umalaya na kumfanya mwenzako kama katoy kako kakukachezea kama hutaki kitu kiite kiambie vizuri sijajipanga sina muelekeo kushinda kutaka kwenda aher kila siku bora uende zako tu.
 
Kuwa makini usije pata kesi....na huchomoi mzee.

Jitahidi kuwa mwaminifu na mwamini...kama haumpendi mwandalie mazingira mazuri ya kumwambia asije jiua....kuliko kumtesa tesa.

Weka mbali visu...mkitofautiana funga mlango wa mbapolala na ficha fungua za sehemu yenye access ya vitu vitakavyosababisha ajiue.
 
Habari Wapwa!

Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano zaidi ya miaka miwili sasa, tunapendana na tulikuwa na mipango ya kuoana hivi karibuni.

Tatizo kubwa alilonalo huyu binti ni hasira za karibu hasa ikitokea akajua nimechepuka. June 2019 aligundua nina mahusiano na binti mwingine, akaniuliza nikakataa baada ya kuweka mitego akaninasa. Ilikuwa purushani hadi akafikia hatua ya kununua dawa na kujaribu kunywa, bahati nzuri niliwahi kumnyang'anya. Hii ikapita!

Juzi tena ameninasa nachepuka, akarudia yaleyale ya mwaka jana. Hapa alikunywa dawa kabisa akijaribu kujiua, bahati nzuri tulijitahidi kumuokoa na akapona.

Tokea hapo moyo wangu umeingiwa na ubaridi juu ya huyu binti, najaribu kuwaza; Je ana roho nyepesi kiasi hiki kweli anatahimili mikikimikiki ya ndoa? Kama trails ameshindwa je movie ataweza kucheza. Je mara ya tatu si ndio atakufa kabisa.

Labda kuna mtu amewahi kukutana na mwanamke mwenye tabia kama hii, naomba ushauri wenu please.
Nikajua kajaribu kujichua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata ushauri uutafutao sijui kama utakusaidia labda umleta huyo unaemtesa ndio ashauriwe...namba bora ya kuachana na wewe mtesaji wa hisia zake.
 
Kama utabaki nae hakikisha hauchepuki au huwezi bila kuuza mechi achana nae
Sababu siku akikuta umechepuka tena akarudia michezo yake na akaandika kimemo nimejiua sababu ya fulani ujue upo matatani
Mpk uchunguzi ukamilike wewe ulifanya nini , jela umekaa na utakua umeshapoteza dira ya maisha
 
Wewe unaokena bado hujapevuka kiakili..na bado hujawa tayari kuoa. Nivizuri ungeendelea tu kula maisha..uyu binti wa watu ungemuwachaa tu. Bado hujaelewa nini maana ya kuingia kwenye ndoa. Ni vizuri ukamfuata shekhe kama muislamu..akupe mafunzo ya ndoa kabla hujaingia..au kama ni mkristo mfuate mchungaji. Hujampenda mtoto wa watu..huwezi kurisk maisha ya mwezako kiasi icho..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa makini usije pata kesi....na huchomoi mzee.

Jitahidi kuwa mwaminifu na mwamini...kama haumpendi mwandalie mazingira mazuri ya kumwambia asije jiua....kuliko kumtesa tesa.

Weka mbali visu...mkitofautiana funga mlango wa mbapolala na ficha fungua za sehemu yenye access ya vitu vitakavyosababisha ajiue.
Usimtishie dogo kwani atamnywesha sumu kipindi akikutwa kafa usimtishie mtu nawe unamapepo kunywa sumu kisanani ?
Kunywa sumu kama huna hela.
 
Jamaa yangu mimi mwenyewe nilikoswa koswa na kisu,nikaapa sichepuki tena.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom