Mpenzi wangu amebadilika ghafla

Mpotezee, kama unaweza kukaa hadi wiki hamuwasiliani unadhani kuna chako hapo?usipoteze muda wako
 
Uhusiano una miezi 5, ila ndani ya hiyo miezi 5 kila mmoja anaishi mkoa wake so ni vigumu kujua tabia za mwingine. Ila ghafla mwamba anataka kwenda kwao kujitambulisha. Penzi jipya huwa linavuta kuliko gravitational force [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!!

Kumbe nilikosea sana kuwa too quick kwake, loh!!
Anyway kufanya kosa sio kosa, next time sifanyi hivi aisee!!
 
Mkuu umeua!! [emoji38][emoji38]

Na ni kweli, unachosema kina mashiko sana na nimekuelewa!!
Braza hebu amka, acha kuendeshwa na nguvu ya penzi jipya, huwa kila kitu kianaendeshwa kwa wenge. Nakumbuka wakati nipo Dar nilishawahi toka sinza mida ya saa 1 usiku hadi kivule kwenda kumuona tu demu, siku hiyo kurudi home nilifika saa sita kasoro sababu ya foleni , na bado akaniacha.

We endelea nae tu huyo mpenz wako, ila wazo la kwenda kwao kurasimisha mahusiano liache kwanza.
 
Bora useme wewe, eti kumkaza vizuri athubuuuutuuuu

Mwanamke hata akukute hanithi, kama una shekeli atajifanya we ndo unapeleka moto dunia hakuna[emoji848]
Hahahah Mipango bila pesa ni kama story za alifu ulela ulela 😂😂😂
~Wahuni 10:9-12
 
Ndugu yangu nashukuru sana kwa ushauri wako!!

Ila hata hapo pa kuendelea naye, nafikiri niachane naye kabisa, na nisifanye ujinga huu next time!!

Asante sana bro!
 
Ha ha wengine mpaka unaamka asubuhi ujiandae kwenda church ndio unaona hii kitu ilikua serious aisee, hapo unaangalia bibi mwingine katulia pembeni naked anakuambia angalia tuu nisije kuibuka church nieke pingamizi, unamwambia njoo tuu
 
Kaka, una point sana, nimekuelewa!!

Pia unaweza ukanisaidi hapa mkuu swali langu, kwamba ni muda upi sahihi wa mtu kuanzisha mahusiano tangu wafahamiane!?
Mahusiano yanaanzaga from nowhere tu, hakuna specific time na hayana formula. Unaweza kutana na dem leo, leo hiyo hiyo ukapiga, alaf mwisho wa siku demu akawa yuko poa tu na mkafanya mambo ya msingi pamoja. Ila pia unaweza ukakutana na dem kwenye folen ya kwenda kutoa sadaka church ila mkashindwa kudumu hata wiki tatu.

We komaa na mpenzi wako. Ila maswala mengine yapeleke slow. Usije ukaforce kujitambulisha, then uoe, kisha mzinguane ndani ya mwezi wakati watu waliwachangia sherehe yenu japo mambo yao yalikuwa hovyo sababu ya madhara ya corona.
 
Ndugu yangu nashukuru sana kwa ushauri wako!!

Ila hata hapo pa kuendelea naye, nafikiri niachane naye kabisa, na nisifanye ujinga huu next time!!

Asante sana bro!
Uhamuzi ni wako broh. Katika madem wote ambao nishawahi kuwa nao, kuna mmoja nilikutana nae ndan ya dala dala, alivyoshuka na mimi nikashuka. Nilifosi akanipa namba, huyo ndio demu ambae alikuwa honest kuliko wote, na alikuwa real kwa kila kitu hata upendo wake haukuwa na shaka. Sema akili za kisenge tu ndio zimenifanya sipo nae, wanaume sometime tunafeli sana Qmamake.
 
Kwahio unamtetea huyo fedhuli. Ishu ni moja tu! Jamaa kamuingia demu mzima mzima hadi mwanamke amemdharau sababu anampelekesha.

Kingine kakuta hana pesa kama alivyokuwa anahisi. Geto baya TV ya chogo.
 
Hahaha ulijifanya kiboloika tatizo. Next time ukipata demu real kaa kitaalamu 😂😂😂
 
Una gari? Una pesa? Nyumba umepanga au??

Hao ndio wanawake wa Daslam mzee.
Watoto wa mjini DSM, Hizo ndio SI Unit za kupanta penzi halisi kutoka kwao...Ukiyakosa hayo assume huna uume tu!😂😂😂
 
Hahahah Mipango bila pesa ni kama story za alifu ulela ulela [emoji23][emoji23][emoji23]
~Wahuni 10:9-12
Ha ha ha nyie warumi mmeigeuza wahuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]

Mtachomwa moto shauri yenu
 
Kwahio unamtetea huyo fedhuli. Ishu ni moja tu! Jamaa kamuingia demu mzima mzima hadi mwanamke amemdharau sababu anampelekesha.

Kingine kakuta hana pesa kama alivyokuwa anahisi. Geto baya TV ya chogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Watoto wa mjini DSM, Hizo ndio SI Unit za kupanta penzi halisi kutoka kwao...Ukiyakosa hayo assume huna uume tu![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna kitu nimekumbuka kwenye hii comment yako[emoji1787][emoji1787]
 
Kitu gani mrembo...hebu sema!
 
Kwenye mapenzi yenu kila kitu kinaenda haraka haraka na ghafla.

Ghafla mkakutana, ghafla mkapendana, ghafla mkatambulishana kwa watu wa karibu, ghafla unataka kwenda kwao, ghafla akaja kwako, then now ghafla amebadilika.
Bwaahaaaaahaa[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]mbona ghafla maninaaaaaaz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…