Mpenzi wangu amebadilika ghafla

Mpenzi wangu amebadilika ghafla


Rejea uzi wangu huu niliwahi kusema maneno haya

Kuna mdau aliwahi kukazia humu kuwa mwanaume anayejielewa usijiwekee asilimia miamoja kuwa mwanamke uliyenaye anaweza kuwa nawewe milele , usijiwekee asilimia mia siku akibadilka utakuja kulia

Mwanaume anaweza akachepuka na bado akaijali familia yake na kila kitu kuazia matunzo akaendelea kutoa ila mwanamke akianza kukusaliti jua ndio ntolee

Sasa ukiwa na mwanamke hasa mchumba epuka sana kuwekeza fedha nyingi au kumwaga hela ukijua ndio tayari ni wako , my friend mchumba hatakiwi kuwekezewa mali ukiwekeza fanya kama unabeti ili siku akija kukubadikikia usije ukashika kisu , misiba hatuitaki

Mpende mwanamke kwa kiasi na usiamini kuwa utakuwa naye milele ili siku akija kubadilika usije ukaja kulia, mwanaume anaweza akachepuka na mwanamke aliyekutana nae ndani ya mwezi mmoja na bado akaendelea kumjali mkewe na familia ila mwanamke anaweza akachepuka na mtu aliyefahamiana nae ndani ya wiki tu na akabadilika kabisa ni wepesi kubadilika (sio wote)

Hivyo kama upo na mwanamke na unajua hujamuowa ishi nae kwa akili, kama huna moyo acha kabisa kutumia fedha nyingi kumhonga au kumfungulia mabiashara makubwa ukidhani utamdhibiti , siku akija kubadilika hutoamini macho yako, ukitoa hela toa kama unabeti ukijua kuna hasara na faida ili siku akifanya yake usije ukaanza kunoa panga.

Mpende kwa kiasi ukijifanya unampenda na kumnyenyekea umeisha, wanawake wakiona mwanaume zezeta kukusumbua ni kawaida, yani kuwa nje ndani asijue kama yeye ndio kila kitu kwako ili asikuletee masihara, mpende mhudumie kwa kiasi ila sio kwa misifa akija kubadilka narudia tena utakuja kufungua uzi hapa kulalamika
 
Kwanini ni kazi kubwa sana kusaka shimo jipya
Mkuu, kuna mdau mmoja katoa mada humu MMU, kwamba ni kazi sana kumpata mwanamke unayemtaka kuliko usiyemtaka... Kwa kweli kwa sifa za juu za yule dada ni kweli nilimpenda sana... Lakini inaonekana siyo riziki, hivyo kama wadau wanavyoniendelea kunishauri... Ntafanya hivyoo..
 
Ni kweli ndugu yangu... Hata mimi nimehisi hivyo tangu awali... Sema sikutaka kwa haraka kutemana naye... Nikasema ngoja niombe ushauri kwrnu ndugu zangu!!
Yaani kausha kabisa usimsemeshe lolote wewe mwangalie tu jali mambo yako achana naye atakupa stress tu ambazo hazina sababu unapaswa kuchukua maaamuzi magumu

sent from HUAWEI
 
Ni kwrli unachosema mkuu, na si kwamba sijaelewa... Isipokuwa nimetaka tu kujua experience, ili hiki ntachofanya kisiwe kumbe kipya... Maana kuna wanaoshauri kuwa labda ni kipindi cha mpito... Lakini kama unavyosema..
 
Yaani kausha kabisa usimsemeshe lolote wewe mwangalie tu jali mambo yako achana naye atakupa stress tu ambazo hazina sababu unapaswa kuchukua maaamuzi magumu

sent from HUAWEI
Sure
 
Mkiambiwa jitahidini kuwafikisha kibo wapenzi wenu mnatuona talk talk mach one sasa pambana na hali
 
lipokuja kwakuja kwako alifikiri atakukuta mambo safi kumbe akakuta ni chini ya aivyotarajia so ndo maana baada ya kugeuka akageuka na hisia zake za kujiweka kwako.
Achana naye hakupendi alikuwa anatafuta grease tu
Kweli kabisa unalosema ndugu yangu... Huyu anatafuta greas tu
 
Huyo mwali hajabadilika, bali hiyo ndio tabia yake sema tu wewe ndie haukupata muda wa kukaanae ili umfahamu vizuri.
Haya acha kulalamika, chukua hatua sasa
 
Vp uwezo wako wa kifedha mkuu

MMaana kwa ninavyofahamu mimi, kwa miaka ya sasa wanawake sio wote ila asilimia kubwa wanaangalia vitu viwili

1.Uwezo wa kifedha
2.Uwezo wa kuhimili show kitandani
Ni kweli, uwezo wangu wa kifedha ni uchumi wa kati wa chini, na yawezekana ni sababu... Ila kitandani niko poa asee
 
Ndugu hata hushtuki tu, jiongeze hapo. Hakuna kitu hapo, huyo ni malaya wa kawaida sana, na hana mpango na wewe.
Piga chini hiyo takataka, tulia zako, utapata chombo kingine saaafi.
Asante ndugu kwa ushauri!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom