witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Aaagh sisemi ng'oo siri yanguKitu gani mrembo...hebu sema!

Ndio hivyo kaangalia akaona isiwe kesi akamkataa mwanaHahahaha kwamba mazingira hayakumshawishi.
Kwani amekuwa gari?Ulimgonga?
Umenena mkuuVp uwezo wako wa kifedha mkuu
MMaana kwa ninavyofahamu mimi, kwa miaka ya sasa wanawake sio wote ila asilimia kubwa wanaangalia vitu viwili
1.Uwezo wa kifedha
2.Uwezo wa kuhimili show kitandani
Hakika afanye hivyoNdugu hata hushtuki tu, jiongeze hapo. Hakuna kitu hapo, huyo ni malaya wa kawaida sana, na hana mpango na wewe.
Piga chini hiyo takataka, tulia zako, utapata chombo kingine saaafi.
Kwa kweli hivyo ndivyo nilivyoamua kufanya aisee!!Hakika afanye hivyo
Uko sahihi mkuuKwa kweli hivyo ndivyo nilivyoamua kufanya aisee!!
Ila according to my experience, mwanaume ndio tuna upendo wa kweli na dhati zaidi kuliko wanawake!!
Hilo ni jambo la kawaida mkuu!!Ulikula mzigo mkuu?
Kwenye mapenzi yenu kila kitu kinaenda haraka haraka na ghafla.
Ghafla mkakutana, ghafla mkapendana, ghafla mkatambulishana kwa watu wa karibu, ghafla unataka kwenda kwao, ghafla akaja kwako, then now ghafla amebadilika.

nimecheka ghaflaWatu mna shida. hivi huoni umekataliwa mkuu. kagundua huna futureMoja kwa moja kwenye mada
Mimi na mpenzi wangu tuna miezi mitano sasa!! Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti
Tulikutana Dar, nikiwa nafuatilia mishemishe flani hivi, na yeye huko ndio kwao, ila kwa sasa yupo mkoa mwingine!!
Kwa kweli baada ya kuonana, nilimuelewa sana, hata yeye alinipenda mno. Mpaka tukafikia stage ya kutambulishana kwa watu wetu wa karibu. Binafsi niliamini hapo mke nishapata!!
Nikaanza kumshirikisha mipango ya jinsi ya kufanikisha kuishi pamoja, yaani kurasimishwa kama mke na mume!!
Nilimuambia, ngoja nijipange vizuri, ili mwezi wa kumi nambili katikati, nikajitambulishe kwao!! Alifurahi sana!!
Sasa, katikati hapo, alinitembelea huku nilipo, na alifurahi sana kwa jinsi nilivompokea, na nilimkarimu kwelikweli, kama wife to be!!
Mara baada ya kurudi kwao, kwa kweli amebadilika sana!! Ana hasira, na gubu balaa!!
Yaani anaweza asinitafute hata wiki nzima, na nikimtafuta anajibu kwa ukali, na kwa kifupi sana!! Naweza tuma text whatsapp, na asijibu au akajibu kwa kuchelewa sana, tena shortcut
Na sasa ana mtindo, nikimpigia, tukiongea kidogo tu ananikatia simu!! Kwa kweli kitendo hicho kinanikera sana, na ninahisi ananidharau mno!!
Kwa kweli sielewi ni kipi kinachoendelea upande wake!!
Nilijaribu kumpigia tuzungumze, lakini alikuwa mkali balaa, na eti hataki kuzungumzia mambo hayo!! Akakata simu!!
Jamani hebu naombeni mnishauri, au mwenzangu atakuwa huko ashapata mwingine!!
Sio kwamba siwezi, lakini sikutaka kabisa kuachana naye kwa kuwa, sikutaka tena kutafuta mwanamke mwingine wa kuona, kwa sababu kwangu hiyo ni kazi kubwa sana!!
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu!!
Watu mna shida. hivi huoni umekataliwa mkuu. kagundua huna future
ID yako plus commentsDah kama huyo binti kambadilikia mpaka Mtoto wa Jadu,huyo kashindikana.

Asante ndugu yangu kwa ushauri kuntu!Mkuu kula vizuri, sali sana, tafua hela kwa nguvu zote, fanya mazoezi halafu uache kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu wengine
Thank me later

Tatizo lako ongea na mahera wa necMoja kwa moja kwenye mada