witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Kalalaa mbeleSimple
Alivyokuja kukutembelea
Kakuthaminisha kagundua hakuna kitu hapo
Ndio anasonga mbele mdogo mdogo
Shtuka.....



Kalalaa mbeleSimple
Alivyokuja kukutembelea
Kakuthaminisha kagundua hakuna kitu hapo
Ndio anasonga mbele mdogo mdogo
Shtuka.....



Hana mimba huyu, sema aliona jamaa hana future huu ndo ukweliKuna mambo mawili hapo.
Je kwanza ulimkaza vizuri!???
La pili akapime ujauzito inaweza kua ana mimba ndo sabab ya kua hivo.
Bora useme wewe, eti kumkaza vizuri athubuuuutuuuuUMASKINI hakuna kinginee..!! Huna helaa kakaa na mazingira demu aliyokuta unaishi ni duni so kaona hapaa hakuna jipyaaaa si unajua pesa mbelee hawa viumbeee..![]()

MmmmhNaomba niwe tofauti na wachangiaji walio wengi.
1. Anakupenda sana.
2. Ana wivu sana kama mimi.
3. Kuna mambo madogo madogo ameyakuta hapo kwako yakamtia wivu akahisi uko na mtu mwingingine japo wewe unaweza kuyaona ya kawaida.
4. Hukuonyesha kumbembeleza, kumpetipeti badala yake ukanunua minyama, mikuku n.k
5. Swali: Alivyokuja ulimpa muda wako wa kutosha au ulikuwa busy na movies, kuangalia mpira n.k?
NB: Wanawake wakikosa kubembelezwa, show ikiwa kama ya Yanga msimu uliopita, usipompa attention akija kwako wanakuwaga na HASIRA, BITTER.
Pia ULISIKIA WAPI MAPENZI YASIYO NA MISUKOSUKO KIDOGO?










Oya jiheshimu wewe! Wanakutesa peke yako.












Bora useme wewe, eti kumkaza vizuri athubuuuutuuuu
Mwanamke hata akukute hanithi, kama una shekeli atajifanya we ndo unapeleka moto dunia hakuna![]()








Acha tuu.. Hela ndo kila kituu haya maishaa...!! Kaza unavyowezaa huna helaa wee falaa tuuNingekuwa mimi ndo mleta huu uzi nisingepost, ni mwendo wa kusaka mahelaIla kua mwanaume kazi aisee. .... bibie kaona isiwe shida kakata umeme![]()
Niamini mkuuUna sehemu yako maalumu katika pepo kwa hiyo NB yako
Msaka tongeHilo la pili halina nguvu saaana kama la kwanza
NB: mi naangalia upendo tu![]()
Si unaona hata wewe umesema. Hela jamani helaaaaaaaaa
We jamaaa huwa nacheka sana
Ndo wanaume wengi eti wanaamini hivoAcha tuu.. Hela ndo kila kituu haya maishaa...!! Kaza unavyowezaa huna helaa wee falaa tuu
Na kikirudi piga show kisha unakata umeme 😂😂😂. Tabia mbaya lakiniNingekuwa mimi ndo mleta huu uzi nisingepost, ni mwendo wa kusaka mahela
Mbona hicho kidada kingejirudisha chenyewe
Ngoja nitulie chini ya kivuli dodo linaweza kuniangukia.Niamini mkuu
Mi nadili na upendo tuu
Kuna jambo kakusoma alipokuja kukutembelea akaona kumbe alikua anapoteaMoja kwa moja kwenye mada
Mimi na mpenzi wangu tuna miezi mitano sasa!! Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti
Tulikutana Dar, nikiwa nafuatilia mishemishe flani hivi, na yeye huko ndio kwao, ila kwa sasa yupo mkoa mwingine!!
Kwa kweli baada ya kuonana, nilimuelewa sana, hata yeye alinipenda mno. Mpaka tukafikia stage ya kutambulishana kwa watu wetu wa karibu. Binafsi niliamini hapo mke nishapata!!
Nikaanza kumshirikisha mipango ya jinsi ya kufanikisha kuishi pamoja, yaani kurasimishwa kama mke na mume!!
Nilimuambia, ngoja nijipange vizuri, ili mwezi wa kumi nambili katikati, nikajitambulishe kwao!! Alifurahi sana!!
Sasa, katikati hapo, alinitembelea huku nilipo, na alifurahi sana kwa jinsi nilivompokea, na nilimkarimu kwelikweli, kama wife to be!!
Mara baada ya kurudi kwao, kwa kweli amebadilika sana!! Ana hasira, na gubu balaa!!
Yaani anaweza asinitafute hata wiki nzima, na nikimtafuta anajibu kwa ukali, na kwa kifupi sana!! Naweza tuma text whatsapp, na asijibu au akajibu kwa kuchelewa sana, tena shortcut
Na sasa ana mtindo, nikimpigia, tukiongea kidogo tu ananikatia simu!! Kwa kweli kitendo hicho kinanikera sana, na ninahisi ananidharau mno!!
Kwa kweli sielewi ni kipi kinachoendelea upande wake!!
Nilijaribu kumpigia tuzungumze, lakini alikuwa mkali balaa, na eti hataki kuzungumzia mambo hayo!! Akakata simu!!
Jamani hebu naombeni mnishauri, au mwenzangu atakuwa huko ashapata mwingine!!
Sio kwamba siwezi, lakini sikutaka kabisa kuachana naye kwa kuwa, sikutaka tena kutafuta mwanamke mwingine wa kuona, kwa sababu kwangu hiyo ni kazi kubwa sana!!
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu!!
Ha ha haNgoja nitulie chini ya kivuli dodo linaweza kuniangukia.
Kuna jambo kakusoma alipokuja kukutembelea akaona kumbe alikua anapotea

