witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Mbona wahuniWahuni 16:16-19
Kasome Bro hapo ndio Mwanamke kadadavuliwa vilivyo.
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app



Mbona wahuniWahuni 16:16-19
Kasome Bro hapo ndio Mwanamke kadadavuliwa vilivyo.
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app



Mpaka iwake moto dadeki aende akasimulie wenzieNa kikirudi piga show kisha unakata umeme. Tabia mbaya lakini



kitabu cha "Wahuni" ndio kinasema hivyoMbona wahuni![]()
Sorry bhana usiume meno bureeeee




unapata dhambi ujueHahahah hii michezo ya mapenzi bana...😂😂😂! Demu wa mjini ukimpenda anakuona choko.Pole mkuu kama Ana tako ushamkosa ila kama hana atarudi tuu kwa muda huu kutakua na mwamba yuko nae kwa muda
Hahahaha kwamba mazingira hayakumshawishi.Jicho lake la 3 lishaona mbali hasa hapo alivyokuja kukutembelea ndio akatambua hakuna future hapa.
Anahisi mjini kuna wake wa kuokota, 😂😂😂? Huku ni kuparangana na gari mbovu tu...Unapiga puti kidogo unaingiza barabaraniUlimla mkuu?
IIla kama vp achana nae tu, sasa mtu umekutana nae mjini unaanza kumshobokea, eti nishapata mke
Acha hizo braza usije ukajinyonga bure kisa utelezi tu
Hapa ushauri ni kuanza kutafta mwanamke huko huko ulipo. Utapata tu huyu mwa mjini waachie watoto wa mjini ndio wanawajulia.Ni kweli ndugu yangu... Hata mimi nimehisi hivyo tangu awali... Sema sikutaka kwa haraka kutemana naye... Nikasema ngoja niombe ushauri kwrnu ndugu zangu!!
we jamaa ni ghafla tu umekuja kwenye uzi wa jamaa na ghafla ume comment! 😂😂😂 Ghafla sana umemshangaa mwamba!Kwenye mapenzi yenu kila kitu kinaenda haraka haraka na ghafla.
Ghafla mkakutana, ghafla mkapendana, ghafla mkatambulishana kwa watu wa karibu, ghafla unataka kwenda kwao, ghafla akaja kwako, then now ghafla amebadilika.
😂😂😂😂😂😂Ulimla mkuu?
IIla kama vp achana nae tu, sasa mtu umekutana nae mjini unaanza kumshobokea, eti nishapata mke
Acha hizo braza usije ukajinyonga bure kisa utelezi tu
we jamaa ni ghafla tu umekuja kwenye uzi wa jamaa na ghafla ume comment!Ghafla sana umemshangaa mwamba!



mwamba mwenyewe amekuja ghafla tu. Katika vitu ambavyo vinatokea ghafla sana kuna radi, umeme, mwanga na uhusiano wa huyu mwamba.Sawa Jomba nitaleta!!Usisahau kuleta mrejesho kwa maushauri iliopata ili nawengine wajifunze.sawa dogo
Yani ghafla kweli kweli 😂😂😂😂😂mwamba mwenyewe amekuja ghafla tu. Katika vitu ambavyo vinatokea ghafla sana kuna radi, umeme, mwanga na uhusiano wa huyu mwamba.
Mkuu umeua!!Kwenye mapenzi yenu kila kitu kinaenda haraka haraka na ghafla.
Ghafla mkakutana, ghafla mkapendana, ghafla mkatambulishana kwa watu wa karibu, ghafla unataka kwenda kwao, ghafla akaja kwako, then now ghafla amebadilika.


Uhusiano una miezi 5, ila ndani ya hiyo miezi 5 kila mmoja anaishi mkoa wake so ni vigumu kujua tabia za mwingine. Ila ghafla mwamba anataka kwenda kwao kujitambulisha. Penzi jipya huwa linavuta kuliko gravitational forceYani ghafla kweli kweli![]()



Wahuni 16:6-9Mbona wahuni![]()
Kaka, una point sana, nimekuelewa!!mwamba mwenyewe amekuja ghafla tu. Katika vitu ambavyo vinatokea ghafla sana kuna radi, umeme, mwanga na uhusiano wa huyu mwamba.