The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,332
- 3,230
nipe namba zake huyo hana gharama bia mbili tu analewa huyo raha sana,Mimi ni mwanamume niko mbali na mpenzi wangu kidogo sababu ya kikazi pia na ye anakazi yake nimeshtushwa na tabia ya mpenzi wangu ya kuanza kunywa pombe (beer) gafla sana hata sielewi..
Mara ya kwanza alikunywa nusu chupa akanambia alikuwa anatest tu radha kumuuliza nani kakupa akasema mfanyakazi mwenzake basi mi sikusema kitu zaidi ya kumuuliza tu unajisikiaje.
Mara ya pili alikunywa chupa 1 tu aisee sikupenda kabisa na nilimwambia mtu anae kunywa pombe ananipa sababu nianze kumchukia mana sitamwamini tena mbaya zaidi nilitumiwa na video kabisa akigonga chupa kumuuliza kwa nini umekunywa akasema amelazimishwa na bosi wake so sad.
Mara ya 3 ndo leo nimetoka zangu job nafika tu home mtoto ananipigia simu kalewa yuko njwaaaa..! hata kuongea anashindwa kumuuliza nini anasema kapiga chupa 2 za bia na amelewa balaa nikamuuliza kwa nini umekunywa akasema ana mawazo ya maisha.. na mi navyojua mambo yake yanaenda sawa kabisa binafsi mimi ni mlokole na nilishamwambia sipendi hiyo tabia ya kunywa yani mpaka hapa nishaanza kumchukia kabisa..toka mara ya pili..
Ushauri tafadhali wanaume wenzangu...! i wish to leave her serious.
Mwache shemeji anywe bia Mkuu,mbona unataka kumbania!
Wakishalewa wanakuaga siyo wasumbufu kabisa kwenye kutoa game!
Ndio maana hata bosi wake alimlazimisha!
Nadhani umenielewa!
Ha ha ha ha Mkuu muombe mumeweNaomba namba yake mkuu, kama bia mbili analewa huyo hana gharama, nipatie tuu namba zake
Fresh tu mzee naona unatupia neno hapo kwenye suala zima la ngano
Nafahamu sana sana sana sana! maana sisi ndio tupo mjini hapa tunayaona na kukumbana nayo kila leo, sasa nashangaa watu hawajifunzi tuKiaina tu mkuu si unajua kupitia ngano ke wanatafunwa sana sijui kwa nini
Hamta elewana mkuu ,inaonekana anapiga ngano toka kitambo sema na wewe umezubaazubaa sana,mbona wangu mpaka bhangi na unga sikumojamoja anashtua na maisha yanaendelea.Mimi ni mwanamume niko mbali na mpenzi wangu kidogo sababu ya kikazi pia na ye anakazi yake nimeshtushwa na tabia ya mpenzi wangu ya kuanza kunywa pombe (beer) gafla sana hata sielewi..
Mara ya kwanza alikunywa nusu chupa akanambia alikuwa anatest tu radha kumuuliza nani kakupa akasema mfanyakazi mwenzake basi mi sikusema kitu zaidi ya kumuuliza tu unajisikiaje.
Mara ya pili alikunywa chupa 1 tu aisee sikupenda kabisa na nilimwambia mtu anae kunywa pombe ananipa sababu nianze kumchukia mana sitamwamini tena mbaya zaidi nilitumiwa na video kabisa akigonga chupa kumuuliza kwa nini umekunywa akasema amelazimishwa na bosi wake so sad.
Mara ya 3 ndo leo nimetoka zangu job nafika tu home mtoto ananipigia simu kalewa yuko njwaaaa..! hata kuongea anashindwa kumuuliza nini anasema kapiga chupa 2 za bia na amelewa balaa nikamuuliza kwa nini umekunywa akasema ana mawazo ya maisha.. na mi navyojua mambo yake yanaenda sawa kabisa binafsi mimi ni mlokole na nilishamwambia sipendi hiyo tabia ya kunywa yani mpaka hapa nishaanza kumchukia kabisa..toka mara ya pili..
Ushauri tafadhali wanaume wenzangu...! i wish to leave her serious.
Mimi Jamaa yangu Ilikuwa kwa week anaweza wala hata 10 kupitia pombe na uleviNafahamu sana sana sana sana! maana sisi ndio tupo mjini hapa tunayaona na kukumbana nayo kila leo, sasa nashangaa watu hawajifunzi tu
Duh! hii midege John matatizo sana hii mkuuMimi Jamaa yangu Ilikuwa kwa week anaweza wala hata 10 kupitia pombe na ulevi
Kuna kunywa na kuna ulevi,mwanamke kunywa siyo tatizo,kama ananywea nyumbani,anakunywa karibu na ndugu na marafiki wanaoheshimiana,au tunakunywa pamoja,cha muhimu ni kuzijua tabia zake vuzuri,kitu nisichokubaliana nacho ni mwanamke kurudi umelewa ukitegemea mimi nikufungulie mlango,haki ya mungu utalala nje.
Demu mnywaji bwana hata amnaga kumuomba mPapa,unamuambia "nataka nikuibe siku nikakulewesheeeeeeeeee hadi ushindwe kutembea" hapo tayari mwili umemsisimka,afu atakuuliza nikishindwa kutembea utanibeba wewe afu unamwambia usiofu tutalala hukohuko,yani shetani linamwambia kubali demu anakubali. Yani demu wa hivyo mazingira na probability za kutiwa ni 100000000000000000000000000000000 kuanzia za kubakwa adi za kupandwa mwenyewe nyege. Mwache tu bro,we move on huyo hata hakusikilizi na she doesnt give a damn about your feelings concerning her drinking.
Sasa kama bwana ake hataki anywee pombe kama huyu na wewe unataka mkalewe woteee...Wee lazima agongekee hata kwa bia mbilii..![emoji3][emoji3][emoji3]Ukimnunulia amarula ndo kabisaaaa....Huyo anakua anakutamani sasa akiwaza na pombe juu anakataaje?.. yani mtu hana hisia na wewe akakupe papa kisa umemuahidi pombe? Atakua shamba wa pombe huyo kama analiwa kwa nunuliwa pombe.
Hao Malaya tu,malaya hata soda,juice,akitaka kukupa anakupa tu hata ukimwambia twende nyuma ya kanisa atakupa tu,kwa mwanamke anayejitambua pesa ya kinywaji siyo issue, issue ni kula good time,kuna Malaya swala tano na pombe hawajawahi kugusa lakini akikufeel hata baibui ni hijab anavua.Demu mnywaji bwana hata amnaga kumuomba mPapa,unamuambia "nataka nikuibe siku nikakulewesheeeeeeeeee hadi ushindwe kutembea" hapo tayari mwili umemsisimka,afu atakuuliza nikishindwa kutembea utanibeba wewe afu unamwambia usiofu tutalala hukohuko,yani shetani linamwambia kubali demu anakubali. Yani demu wa hivyo mazingira na probability za kutiwa ni 100000000000000000000000000000000 kuanzia za kubakwa adi za kupandwa mwenyewe nyege. Mwache tu bro,we move on huyo hata hakusikilizi na she doesnt give a damn about your feelings concerning her drinking.
Mumy,we unakunywa but sio wote wako kama wewe,na majority ya mademu wanaokunywa mjini wapo hivyo. Hivi umesoma mazingira ya huyo binti wa muhusika lakini? Ni mazingira hatarishi hao wote anaomnywesha wanamtarget na wamejua she i vulnerable,plus she is rebelliuos,not once but twice anakunywa akijua mpenzi wake hapendi and sababu anayotoa ndio mbaya zaidi mara boss mara mfanyakazi mwenzangu,afu anachukulia easy hajui effect ya hayo majibu kwa mpenzi wake...Huyo anakua anakutamani sasa akiwaza na pombe juu anakataaje?.. yani mtu hana hisia na wewe akakupe papa kisa umemuahidi pombe? Atakua shamba wa pombe huyo kama analiwa kwa nunuliwa pombe.
Mie naongelea demu wa aina ya demu wa mleta mada. Tayari anampa mwanaume ticket,plus bwanaake hanywi,wengine sio malaya bro,but pombe inamuaffect akili zake,si tunaona wanalewa anakua mcharuko anavua nguo,wakat akiwa ajalewa ni mpole na hawezi kufanya alioyafanya akiwa amelewa.Hao Malaya tu,malaya hata soda,juice,akitaka kukupa anakupa tu hata ukimwambia twende nyuma ya kanisa atakupa tu,kwa mwanamke anayejitambua pesa ya kinywaji siyo issue, issue ni kula good time,kuna Malaya swala tano na pombe hawajawahi kugusa lakini akikufeel hata baibui ni hijab anavua.
Ambao hawanywi ndo hawaliwiAcha kuzunguka mkuu na kuhalalisha mabalaa, demu akishaanza pombe tu hafai. awe mnywaji awe mlevi wote wanakuwa rahisi tu kuliwa