Mpenzi wangu ameanza kunywa pombe

Mpenzi wako lazima ujue tabia zake na uwe na msimamo ndio utaweza kumcontro,inavyoonyesha mtoa mada hana msimamo wala control yeyote na demu anajua ndo maana kalewa mara mbili na kumpa kavu za uso.Mimi kuna siku demu katoka kulewa na dada zangu wa tumbo moja,enzi hizo bado tunadate ajanijua vizuri,kachukua tax kaja kugonga nyumbani kwangu akitegemea kwa kuwa alikuwa na Dada zangu ntamfungulia aje kulala kwangu,sikufungua alafu ilikuwa winter ilibidi awatafute wifi zake aliokuwa nao disco,kunywa at your own risk na lazima nijue unakunywa na kina nani na saa ngapi unarudi home,sina tatizo ukitaka kualika marafiki zako wa kike waje nyumbani mnywe mpaka asubuhi na mimi ntaleta wangu tunywe na tuvute bangi mpaka.
 
Fanya kama nikivyofanya mimi. Hahahaaa niliona anapost anakunywa pombe fulani hivi. Basi nikaminya uzi kimya kimya toka that day sijampigia. Akahangaika weeee. Mie nipo kimya japo nilikuwa naumia. But now nimezoea
 
Hahaahaa mayemuuuuuuu
 
WEWE NI MPENDWA AU MLOKOLE SASA BADALA YA KUMCHUKIA TAFUTA NJIA YA KUMSAIDIA.....
 
Boss wake ndo kamfundisha,na kama boss wake ni wa kiume kuna walakini wa kuonjewa
 
Ndo maisha yake. Kama hupendi achana nae.
 
Mkuu chunguza kuna kitu nyuma ya pazia kinamfanya awe hvyo na chunguza kuna uwezakano mkubwa hapo ofisn kwake kuna njemba inamla na ndio inamfundisha kunywa maji ya ilala
 
Kuwa mbali naye kumemuathiri kisaikolojia,ndio maana yuko hivyo.we ni mwanaume bwana beba majukumu yote na muweke mkeo karibu hilo tatizo litaisha.
 
Asipokuelewa kwa hii comment yako plz nikumbushe nami nimsisitizie tena kwanini Mungu alikataza Binadamu tusitumie vileo Mkuu.
 
Wazo bora kabisa kuliko mengine yote kwa siku ya leo.
 
Piga nae tu pombe ndege wafananao ndio huruka pamoja
 
Mtengenezee kiwanda aanze kuzalisha Tanzania ya viwanda . usizubae fursa hiyo
 
ukweli ni kuwa "like poles attract unlike poles repel"
sijui huu msemo kwa Kiswahili unakuwaje
 
mkuu hapa kuna mawili matatu yanakuhusu........

kwanza, kama wewe ni mlokole as you say, hio habari ya kuachana ifute kabisa kichwani mwako, ni dhambi na umeshafungwa nae mpk kifo!

au hujamsoma paulo katika koritho wa kwanza akiongelea uhusiano kati ya wanandoa (anaeamini vs asieamini) kwamba mmoja hutakaswa kwa mwingine?.........


so nakushauri, zidi kumwombea kwa Yesu awezaye kututakasa kqa damu yake ili mkeo nae atakasike!...... kama wewe umetakaswa na Bwana Yesu that means unaposhirikiana nae tendo la ndoa mnakua mwili mmoja, then Kristo aweza kumtakasa hata mkeo maana ni mwili mmoja na wewe!........

mwombee sana ili chuki yako uliyonayo kwake iondoke,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…