Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Hawa viumbe wa ubavu wa kushoto linapokuja swala la mapenzi huwa hawana "intelligence" yoyote, wanaongozwa na "hisia".mkuu binti ni very intelligent halafu mpole utaongea maneno kibao halafu swali moja tu linazika maneno yako yote!
unavyoandika kama vile kitu rahisi sana yani!Hawa viumbe wa ubavu wa kushoto linapokuja swala la mapenzi huwa hawana "intelligence" yoyote, wanaongozwa na "hisia".
Akikufumania na ukakubali kosa unamuumiza hisia zake, lakini, ukikataa kosa unamchanganya hisia zake anakua hajui akae upande gani, upande wa kukuchukia au kukupenda.
Akiwa kaika dilemma hiyo kwako wewe ni ushindi sababu hisia za kukupenda zitazidi hisia za kukuchukia. Kwanini?
Sababu kukiri kosa mbele ya mwanamke ni kuonesha udhaifu (weakness). Udhaifu wako hupunguza hisia za mwanamke juu yako. Ukikiri mbele yake kuwa ni kweli umechepuka moja kwa moja anachukulia kuwa umemdharau na kumwona hafai bali mchepuko wako ndio bora kumzidi yeye.
Ukikataa kosa hata kama amekukuta umefanya, unaonesha uimara wako mbele yake. Unamuonesha kuwa mchepuko sio bora kumzidi yeye. Kumbuka unachotakiwa kufanya ni kucheza na hisia zake pasipo kukiri udhaifu wako. Hawa viumbe wanawapenda sana Wanaume wakorofi na wenye misimamo.
Akikufumania, kataa. Love is a mind game.
Pole jamaa kaza moyo tafuta tu mwingine utajuta kuyafahamu mapenziAlinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage...
Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe tabu, nikaenda kulanduka na Serengeti lager kama 5 hivi, kisha nikampigia simu!
Nikajua hata atakuja juu, lakini mtoto wa watu ndo kwanza akawa mpole kama maji ya kwenye mtungi! Baada ya salamu, nikamuuliza, 'Umenisamehe?' Akacheka kidogo halafu akakaa kimya.
Nikamuuliza tena, 'Au ndo umeniacha tayari?'
Akavuta pumzi akajibu, 'Nimekuacha na sijakuacha pia!' Hapo hapo akakata simu!
Nikapiga tena, akaniuliza, 'Nini?' Nikamwambia, 'Nakupenda.'
Akajibu, 'Nakupenda na sikupendi pia.'
Nipo matatani, ananichanganya sana, sielewi hapa majibu yake mawili mawili yananitia sonona na mtanziko wa mawazo! Kwa ambaye amekutana na swahibu kama hili ulifanyaje kuyaweka mambo sawa? Kijana wenu penzi bado nalitaka maana mtoto miuno kama feni bovu!
Yawezekana alienda Kumbandua kwa huyo Demu ndiyo yakamkuta hivyo Mkuu. Ukiwa Mtu wa Medani huwezi Kufumaniwa.Heeeh!,
Mwanaume unafumaniwa na unakubali? Natamani hata nikukate makofi.
MWANAUME HUTAKIWI KUKUBALI HATA KAMA UKIFUMANIWA UPO KIFUANI UNAPIGA UNO..... KATAA KABISA KUWA SIO WW.... KATAA KATU KATU.
GENTAMYCINE, ephen_ , njoo muone hii kijana ya ovyo
Kwa style hii hatuwezi kupata Generation Z soon hapa bongo.Alinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage...
Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe tabu, nikaenda kulanduka na Serengeti lager kama 5 hivi, kisha nikampigia simu!
Nikajua hata atakuja juu, lakini mtoto wa watu ndo kwanza akawa mpole kama maji ya kwenye mtungi! Baada ya salamu, nikamuuliza, 'Umenisamehe?' Akacheka kidogo halafu akakaa kimya.
Nikamuuliza tena, 'Au ndo umeniacha tayari?'
Akavuta pumzi akajibu, 'Nimekuacha na sijakuacha pia!' Hapo hapo akakata simu!
Nikapiga tena, akaniuliza, 'Nini?' Nikamwambia, 'Nakupenda.'
Akajibu, 'Nakupenda na sikupendi pia.'
Nipo matatani, ananichanganya sana, sielewi hapa majibu yake mawili mawili yananitia sonona na mtanziko wa mawazo! Kwa ambaye amekutana na swahibu kama hili ulifanyaje kuyaweka mambo sawa? Kijana wenu penzi bado nalitaka maana mtoto miuno kama feni bovu!
Mtafutie na yeye njia ya kuliwa na mwengine.Alinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage...
Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe tabu, nikaenda kulanduka na Serengeti lager kama 5 hivi, kisha nikampigia simu!
Nikajua hata atakuja juu, lakini mtoto wa watu ndo kwanza akawa mpole kama maji ya kwenye mtungi! Baada ya salamu, nikamuuliza, 'Umenisamehe?' Akacheka kidogo halafu akakaa kimya.
Nikamuuliza tena, 'Au ndo umeniacha tayari?'
Akavuta pumzi akajibu, 'Nimekuacha na sijakuacha pia!' Hapo hapo akakata simu!
Nikapiga tena, akaniuliza, 'Nini?' Nikamwambia, 'Nakupenda.'
Akajibu, 'Nakupenda na sikupendi pia.'
Nipo matatani, ananichanganya sana, sielewi hapa majibu yake mawili mawili yananitia sonona na mtanziko wa mawazo! Kwa ambaye amekutana na swahibu kama hili ulifanyaje kuyaweka mambo sawa? Kijana wenu penzi bado nalitaka maana mtoto miuno kama feni bovu!
Waoge wawe wasafi 😹😹😹ili iweje..?
hapo kuw mpole make kumanizi lako kujitetea nikugumu sn zaid akikuletea nyodo mkaushie mapenz yakufos nyakati hiz hamnaAlinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage...
Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe tabu, nikaenda kulanduka na Serengeti lager kama 5 hivi, kisha nikampigia simu!
Nikajua hata atakuja juu, lakini mtoto wa watu ndo kwanza akawa mpole kama maji ya kwenye mtungi! Baada ya salamu, nikamuuliza, 'Umenisamehe?' Akacheka kidogo halafu akakaa kimya.
Nikamuuliza tena, 'Au ndo umeniacha tayari?'
Akavuta pumzi akajibu, 'Nimekuacha na sijakuacha pia!' Hapo hapo akakata simu!
Nikapiga tena, akaniuliza, 'Nini?' Nikamwambia, 'Nakupenda.'
Akajibu, 'Nakupenda na sikupendi pia.'
Nipo matatani, ananichanganya sana, sielewi hapa majibu yake mawili mawili yananitia sonona na mtanziko wa mawazo! Kwa ambaye amekutana na swahibu kama hili ulifanyaje kuyaweka mambo sawa? Kijana wenu penzi bado nalitaka maana mtoto miuno kama feni bovu!
Murife runAlinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage...