Hapo unatamani kazi na kipato chake... Unamuonea wivu mwanaume mwenzio aliyekubali kujitwisha majukumu ya kumuonesha upendo wa vitendo, eti ana kazi ya kawaida... hopeless kabisaWakuu Salaam;
Kila mmoja hupitia mambo kadhaa katika mahusiano na mojawapo ni hili la mahusiano kuvunjika kwasababu mbalimbali.
Binafsi Mpenzi wangu wa kwanza tuliachana kwasababu kadhaa baada ya yeye kumaliza kidato cha sita na mimi kwenda Chuo. Alikua akisoma huo ukanda ulipo mkoa wa Dar Kwa upande wa elimu ya sekondari ngazi ya A level.
Baadaye alichaguliwa kwenda Chuo morogoro maana aliniambia hadi fani aliyochaguliwa kwenda kusoma. Kwa kipindi tulichoachana hakukua na mawasiliano ya karibu tena.
Mwaka huu 2020 niliambiwa na rafiki yake kwa sasa yuko Dar na ameajiriwa na kampuni moja hivi kwenye kitengo kizuri tu. Kuna Nickname alikua akiipenda sana nimwite hivyo nimemtafuta instagram nimempata na kuona picha zake. Binafsi nimeshawishika sana kurudiana naye sema kwa sasa haiwezekani maana tayari kaolewa na ana watoto watatu.
Mme wake ana kazi ya kawaida tu hapo mjini ila huyo dada ndiyo ana kazi nzuri.
Niko nabungaa tu sahivi, sijajaribu hata kumtafuta kupitia instagram nimsalimie zaidi ya kucheki posts zake. Kuna siku niliona kaposti yuko na mmewe na watoto wao, nilikula kwa macho tuu.
Wakati mwingine naona posts yuko kwenye seminars, vikao mbalimbali n.k
Huenda tungekua mbali kimaisha kama tungekua pamoja. Nalolitambua ni kua kwenye maisha hamna haja ya kulalamika au kuhuzunika. Ni kuchukua ustaarabu tu.
Vipi upande wako, unafahamu alipo mpenzi wako wa kwanza kwa sasa na ungetamani kurudiana naye?
Mjulie hali bwana saiv mtandao mingi..au hutaki kukaa karibu na muwa, utaulaDah sijui yuko wap asee japo nasikia yupo mwanza chuo cha fishing sijui nanini.
Maisha connections, hujajiongeza?Yupo wizarani ni waziri
😄 😄 😄 😄 Mkuu mahusiano yana mambo mengiEndelea Kula tu kwa macho hata ucjaribu kumvurugia ndoa yake
Toto lilikuwa lako ukalipoteza kizembeeee
Mkuu si wivu mbn nimesema tangu awali au pengine angle of perspectives are differentHapo unatamani kazi na kipato chake... Unamuonea wivu mwanaume mwenzio aliyekubali kujitwisha majukumu ya kumuonesha upendo wa vitendo, eti ana kazi ya kawaida... hopeless kabisa
Hakuna haja ya kuanza kumfatilia kisa alikua mpenzi wako, binafsi sijui na sihitaji kujua kuhusu yeye na maisha yake huu mwaka wa nne sasa.
Hatari sana😄 😄 😄 😄 Mkuu mahusiano yana mambo mengi
Naona unavyoitolea macho "kazi yake nzuri tu"Wakuu Salaam;
Kila mmoja hupitia mambo kadhaa katika mahusiano na mojawapo ni hili la mahusiano kuvunjika kwasababu mbalimbali.
Binafsi Mpenzi wangu wa kwanza tuliachana kwasababu kadhaa baada ya yeye kumaliza kidato cha sita na mimi kwenda Chuo. Alikua akisoma huo ukanda ulipo mkoa wa Dar Kwa upande wa elimu ya sekondari ngazi ya A level.
Baadaye alichaguliwa kwenda Chuo morogoro maana aliniambia hadi fani aliyochaguliwa kwenda kusoma. Kwa kipindi tulichoachana hakukua na mawasiliano ya karibu tena.
Mwaka huu 2020 niliambiwa na rafiki yake kwa sasa yuko Dar na ameajiriwa na kampuni moja hivi kwenye kitengo kizuri tu. Kuna Nickname alikua akiipenda sana nimwite hivyo nimemtafuta instagram nimempata na kuona picha zake. Binafsi nimeshawishika sana kurudiana naye sema kwa sasa haiwezekani maana tayari kaolewa na ana watoto watatu.
Mme wake ana kazi ya kawaida tu hapo mjini ila huyo dada ndiyo ana kazi nzuri.
Niko nabungaa tu sahivi, sijajaribu hata kumtafuta kupitia instagram nimsalimie zaidi ya kucheki posts zake. Kuna siku niliona kaposti yuko na mmewe na watoto wao, nilikula kwa macho tuu.
Wakati mwingine naona posts yuko kwenye seminars, vikao mbalimbali n.k
Huenda tungekua mbali kimaisha kama tungekua pamoja. Nalolitambua ni kua kwenye maisha hamna haja ya kulalamika au kuhuzunika. Ni kuchukua ustaarabu tu.
Vipi upande wako, unafahamu alipo mpenzi wako wa kwanza kwa sasa na ungetamani kurudiana naye?
Namba yake ishafungiwa nida walifanya yao japo kwao napajua ila kwenda naona jau af ataniona mnyonge so nishampotezea saiv namahusiano yangu mapya hope nayeye anayo pia tho last time nawasiliana nae alinilalamikia kua jamaa alonae hamtreat vzr kama mm sa sijui kama bado wapo nae.Mjulie hali bwana saiv mtandao mingi..au hutaki kukaa karibu na muwa, utaula
Ni kweliHujaamua tuu, ni ishu ya priority...ukiamua mbn chap tuu
Mie sifahamu mpenzi wa kwanza kugegedana ambapo tulivunja chaga hadi kuhamia chini, nilimpenda sana sijui yuko hai sijui alipotelea wapi!!??Wakuu Salaam;
Kila mmoja hupitia mambo kadhaa katika mahusiano na mojawapo ni hili la mahusiano kuvunjika kwasababu mbalimbali.
Binafsi Mpenzi wangu wa kwanza tuliachana kwasababu kadhaa baada ya yeye kumaliza kidato cha sita na mimi kwenda Chuo. Alikua akisoma huo ukanda ulipo mkoa wa Dar Kwa upande wa elimu ya sekondari ngazi ya A level.
Baadaye alichaguliwa kwenda Chuo morogoro maana aliniambia hadi fani aliyochaguliwa kwenda kusoma. Kwa kipindi tulichoachana hakukua na mawasiliano ya karibu tena.
Mwaka huu 2020 niliambiwa na rafiki yake kwa sasa yuko Dar na ameajiriwa na kampuni moja hivi kwenye kitengo kizuri tu. Kuna Nickname alikua akiipenda sana nimwite hivyo nimemtafuta instagram nimempata na kuona picha zake. Binafsi nimeshawishika sana kurudiana naye sema kwa sasa haiwezekani maana tayari kaolewa na ana watoto watatu.
Mme wake ana kazi ya kawaida tu hapo mjini ila huyo dada ndiyo ana kazi nzuri.
Niko nabungaa tu sahivi, sijajaribu hata kumtafuta kupitia instagram nimsalimie zaidi ya kucheki posts zake. Kuna siku niliona kaposti yuko na mmewe na watoto wao, nilikula kwa macho tuu.
Wakati mwingine naona posts yuko kwenye seminars, vikao mbalimbali n.k
Huenda tungekua mbali kimaisha kama tungekua pamoja. Nalolitambua ni kua kwenye maisha hamna haja ya kulalamika au kuhuzunika. Ni kuchukua ustaarabu tu.
Vipi upande wako, unafahamu alipo mpenzi wako wa kwanza kwa sasa na ungetamani kurudiana naye?
User name yako inamaanisha ulicho andika
Acha uoga mkuuM naona wengi ni kuchunguza maisha ya mtu yakoje sio kwa upendo wala nn