The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,444
- Thread starter
-
- #41
Pole Mkuu kwa yaliyotokeaMpenzi wangu wa kwanza tulidumu miaka 3 lkn tangia tulipoachana hatujawai kukutana wala kusalimiana kwenye simu yani nimemsahau kabisaa ata sitamani kuwa nae ata angekuwa mbunge wa viti maalumu
yapi hayo mkuu!Pole Mkuu kwa yaliyotokea
Mla mla leo, mla Jana kala nini!
Hamna Goddes, kuna watu roho zao ndiyo zimejikunja haswa ila wengine wachache roho zao nyeupe chokaa ni nyeusiM naona wengi ni kuchunguza maisha ya mtu yakoje sio kwa upendo wala nn
Congrates Kimwerymdodo5Next month anaolewa,tuliachan last 2 years.she's my friend even if alinikwaza sana...
& life goes on...
Yes inakuhusuWale tulioanza mapenzi utotoni inatuhusu hii?
CongratesDemu wangu wa kwanza ndo mke wangu wa ssa
It is interesting...Ni zamaaaanii ilaa
Tulipotezana baada ya ye kwenda Marekani kusoma
Siku moja kwenye foleni mtaa wa Samora namuona jamaa..jmn nyie acheni tu..time is everything..hata kwa dawa sikubali kurudi pale
Tulivokua wadogo nlimuona ana medium height ss mtu mzima naona hajarefuka bado yuko almost palepale flani hivii
Mhh nilijikausha tu km sijamuona ila zamani ningeweza zimia kwa presha😛
Mkuu nimemkumbuka bila hiana yyt..kwan kumkumbuka mtu kuna ubaya gani?Mkuu wewe sio kuwa umemkumbuka kwa kumpenda, ila ni baada ya kusikia na kujua ana kazi nzuri na wewe apeche alolo.
Acha kutafuta kitongo mkuu, pambana upate zako
CongratesNinaye hapa. Tuna watoto wanne tayari.
"Hata sitamani kujutana nae"yapi hayo mkuu!
Hamlingishiani urijali?Huwa ananitafuta na kuniringishia watoto wake mwaka jana kapata mtoto wa nne
Hapana japo huwa sielewi lengo lake ni nini?Hamlingishiani urijali?
Ila si umesema ana kazi nzuri na mshahara mzuri?. Na kama bado mngekuwa pamoja, basi mngekuwa mbali?Mkuu nimemkumbuka bila hiana yyt..kwan kumkumbuka mtu kuna ubaya gani?
Mkuu siku ni ndefu, namna ya kuimaliza ndy hivi kukumbushana
Kawaida mradi hakijachachaKuna mla leo wa kiporo
Namakumbuka mpenzi wangu Tunda Mpiga sijui yuko wapi? mara ya mwisho nilikuwa naye JKT Msange Tabora, OPP. programme ya chama! kwa mujibu wa sheria, hayupo face Book wala INST. nje nimezunguka sijawahi muona!Maisha ni safari, vumilia utampata anaekustahili