KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Nipende mimi leo umesema kweliiiii.Ivi kwanini Hujipendi? Mwanamke akianza kukutongoza hasa wa rafiki yako ujue amekuona wewe tule tugawe,na bila hiyana wana aibu unasema unakaribia kumpenda ivi wewe ni rafiki wa kweli? ebu jipatilize usijitoe fahamu,ebu ukiwa peke yako
fikiria au kuku rahisishia mawazo vuta picha rafiki yako ana kuchukulia demu wako utajisikiaje? jibu unalo wenyewe..