WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,015
Hebu muulize mama/dada yako halafu utuletee jibu atakalokupa.
Umelala njaa?!Mbona unaleta stress zako kwangu?
sio stress kakuelekeza vizuri sana, hao watakuwa na majibu mazuri sana kwa swali lako.
Halafu ukishajua???
nipate uhakika!
Ili iweje........
kuna ukweli fulani kwenye hili hasa kama ulimpenda
ha ha ha leooooooo bora hata ungeanza na bwana asifiwe labda upepo ungekuwa shwari
Hebu muulize mama/dada yako halafu utuletee jibu atakalokupa.
dah jf kiboko kwa majibu ya ovyo tu
nipate uhakika!
Hasahauliki ye mzazi wangu???