Mpenzi wa kaka simuelewi

Mpenzi wa kaka simuelewi

me nimekuelewa xana kaka na ni kwel unahitaj ushaul xema hapa jf kuna wa2 na via2 habar uxinge ilefusha me nisinge elewa hapa nimepata picha kwa hyo me naona mchane live tu hyo dem alaf ucngefuta yale mauchafu aliokua anaku2mia umwonyeshe brther ila c mbaya tabia ni kama ngoz ataludia madem wa hvo ambao hawa ji behave me nawachukia kama ukoma huyo xo dem man kimbia

Duuh.. Unamjua mzee kifimbo cheza wewe..?
 
mkuu techman u made my night... nimependa sana komenti zako...ahahahah...kwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwi...
 
hata mimi nimejiuliza kaka yu wapi, kwa nini ajawa mkweli kwa dada zake kwamba ni wifi yao kwa kaka yao. anazingua huyu kanjanja tu

Tupo wa tatu kwetu bro ndo wakwanza wapili mm watatu dg yupo form one...nw nyumbani tupo watatu mm...mama..na sster wa kazi......kumbuka tangu waanze mahusiano na kk hata miez 5 haija fika
 
Da komedi hazitoisha humu. Km ni wa kaka yako how come hujawahi kuwaambia kwenu? Hii inaonesha unamtamani sema unamuonea aibu.

Mm siwezi msemea mtu na sio komedi huo ndo ukweli....kk mwenyewe hata miezi 5 haijafka ni miez 2 tu tangu waanze...baada ya kuanza relationship na kk alikaa kidg akaondoka kumbuka huku sio kwao amekuja kurud wiki moja baadaye kk anaondoka ndo hadi leo
 
me nimekuelewa xana kaka na ni kwel unahitaj ushaul xema hapa jf kuna wa2 na via2 habar uxinge ilefusha me nisinge elewa hapa nimepata picha kwa hyo me naona mchane live tu hyo dem alaf ucngefuta yale mauchafu aliokua anaku2mia umwonyeshe brther ila c mbaya tabia ni kama ngoz ataludia madem wa hvo ambao hawa ji behave me nawachukia kama ukoma huyo xo dem man kimbia

Mpo wa chache sana kama ww humu JF thankx much ubarikiwe.....walio zoea kudanganya lazima watasema nadanganya
 
Mm siwezi msemea mtu na sio komedi huo ndo ukweli....kk mwenyewe hata miezi 5 haijafka ni miez 2 tu tangu waanze...baada ya kuanza relationship na kk alikaa kidg akaondoka kumbuka huku sio kwao amekuja kurud wiki moja baadaye kk anaondoka ndo hadi leo

Sasa wiki moja ndo imeleta mambo yote hayo? Kuna kitu hujasema. Maana story yako ni ya zaidi ya miezi kadhaa
 
Mbona hujatuambia kama nyumba yenu ina geti jeusi,na c mna gari kwenu au?
 
Back
Top Bottom