Mpenzi wa kaka simuelewi

Mpenzi wa kaka simuelewi

😃😃😃😃 duh hapo mpe ukweli wa moyo maana siku ukimtenda kisa huna hisia nae atatamani kujiua,,, ☺☺☺☺
 
Hilo ni jaribu usikubali kabisa kaka yako akirudi na akajua umelala na mwanamke wake yani mtakuwa maadui hutaamini
 
Tupo wa tatu kwetu bro ndo wakwanza wapili mm watatu dg yupo form one...nw nyumbani tupo watatu mm...mama..na sster wa kazi......kumbuka tangu waanze mahusiano na kk hata miez 5 haija fika
kwani hilo ndo linazuia kuwaambia huyo ni wifi yao kwa kaka yako mkubwa, kwani kuja kwake home kaka akiwa hayupo ndo inafanya awe mtu wako.sema na wewe unataka kama huyataki yoye haya ungewaambia toka awali hii mali ya kaka mkubwa
 
unalelea lea ya nini kama humtaki wewe? bwana mega kisele mteme ila uhuni huo... demu anahitaji kukanyagwa hujui tu
We demu ungekuwa dume wangekukoma uzao wa Eva!!! Duh maana comment zako kboko!!!
 
Mmmh,,,,,,,,,uhalisia hamna kabisa katika hii habari.
 
Ukiskia bikra dume ndio ww, anakuvutia havutii wee chapa tuu, mii siangalii mvuto, sura wala nini ninachojali mimi awe na papuchi tuu kwisha habari yake. Jua mchagua jembe sii mkulima
 
Back
Top Bottom