Mpenzi wa kaka simuelewi

Mpenzi wa kaka simuelewi

Habarini humu
ndani.......mm nina kaka angu (jina nina lihifadhi) sasa....kuna siku
tulikuwa tumekaa na kaka dukani kwetu na mm nikiwa ni muuzaji pale
dukani...alikuja binti mmoja ambaye kwa ule mtaa alikuwa mgeni.....

Alinunua alivyo kuwa ana nunua huku akiwa ananiangalia usoni huku akiwa
amepisha shingo (hukuwepo ila malaika wako alikuwepo I think umepata
picha the way alivyo kuwa amepindisha shingo) sasa mm kiukweli sinaga
tabia ya kumshobokea dada amabaye nakuwa namuona kwa mara ya
kwanza,sinaga tabia za kumuongelesha dada ambaye ndo kwa mara ya
kwanza,namuona....

Sasa baada ya kumuhudumia pale dukani mm nilitoka na kukaa nje kwenye
bench moja na kaka....nikaagiza muwa mmoja nikaletewa huku yule dada
akiwa pembeni coz kuna mwenzie alikuwa ana msubirii.....kama kawaida
nilikata muwa nikampa kaka na mwingne nikawa nakula mm kama kawaida
sikutaka kuonesha shobo kwa yule dada sikumpa muwa kwa kweli coz
nawafaham wa dada wa kibongo ukimpa kitu ataanza kujishaua maana hisia
zake zitampeleka kuwa huyu boy ananitaka na kuanza kuzungumza mbofu kwa
watu mm sikutaka hiooo initokee

Kwa kuwa kaka angu ni mtu mwenye huruma alichukua kisu na kumkatia muwa
baadaye walikaa na kuendelea kupiga story wakila muwa..mm nilisepa
nikawa bzy na kazi yangu ya dukani ambayo mama aliniacha

Baada ya pale sikumwona tenw yule dada coz kitaa mm sio
mtembeaji...ulipita mda mrefu sana siku nikiwa dukani yule binti alikuja
lakini kiukweli mm nilikuwa nimesha msahau kabisaaa...sikukumbuka kama
nimewahi muona niliona kwangu tena huyu ni mgeni..lakini niliwahudumia
wote yy akajiweka mwishoni .....ilipo fika zamu yake akanisalimia mm
nikamjibu poa...akanipa simu na kusema ongea na huyo jina alikuwa
amemsace "TWN" kuongea naye kumbe akilkuwa ni bro akasema dg huyo ni
shemeji ako...nilipo maliza kutambulishwa nikammaribisha kiti aka kaa
nikaenda mnunulia chakula....coz alikuwa ametoka safari nikamchukulia
ndizi roast na na nyama ya mbuzi chomaa ya kutosha tuu na juice kubwa ya
azam (mango) nikamletea nikamwambia karibu kula akadai tule wote bt mm
nilizingua..alivyo kula akaongea kidogo na kuomba kusepa coz kiukweli mm
nilikuwa cna mud ya kuongea nae coz nilikuwa nimechoka
kimtindo......kabla hajasepa alimpigia cm bro akasema bundle langu sio
mda litakata so nitashindwa kukutext c unajua nako enda vocha adimu? Bro
akamwambia poa......

Sasa mimi nilivyo sikia hivyo nikamwambia kwenye simu yangu kuna vocha
kimtindo so naweza kukugawia akasema kama huto jali mm nikamrushia buku 6
vocha hakuamin coz aliko kuwa anaenda ni mbali nikamuitia tax akaaga
akaendaa (kumbuka mm niliamua kumfanyia hayo kama shemeji yangu) baada
ya mda akapiga cm coz mm namba ake nilikuwa sina nikauliza ww nan
akasema mm shem wako thankx nimefika salama nikamwambia poa.....

Baada ya wk yule dada amekuwa karibu sanaaaa na mn nyumbani anakuja na
mama anafaham kam ni dem wangu...kanitambulisha kwa mama ake kama rafiki
ake wa karibu kaka hayupo kaenda masomoni na wakati anaondoka walikuwa
wamegomba nikajitahd kusuluhisha lkin wapi......sasa kinacho nikuta
sahiz yule dada nyumban haipit cku bila kuja na dukan anakuja....akija
home anapenda sana kuangalia video za xxx kwenye pc yangu.....pcha anazo
nitumia whatsap zake ni hatariii mm huwa cpnd nazifuta...akiwa room
kwangu...anajiachia kana kwamba mm ndo kaka hata kama kaoga kwao akifika
utasikia nataka kuogo huku kwenu joto sana sasa najiuliza joto linatoka
wapi aki room kuna AC....kubwa zaid kuna siku alisema anataka ku dance
for me...alidance alikata maunooo....sasa mm cnaga shobo naye wimbo
ulivyo isha nikasema mm naenda ogaa...nilitoka zangu nikaoga nikatulia
anafanya vng ambavyo hadi sahizi simuelewi nn ana maanisha.....

Jamani huyu shemeji naona aibu kumpiga marufuku room kwangu ..naona aibu
kumzuia nyumbani na wot nyumbani wamempenda wakizania ni dem wangu mm
tu sijampenda na sina hisia nae.......ingawa ving ananitamanisha lakin
mm cwez msaliti kaka na pili huyu dada cjampenda na mchukia sema basi tu
coz dem wangu wa kwanza alinitenda 2010 hadi leo sitki tena msichana
yeyote yule

Naombeni ushauri nifanye nn kumuepuka je nimsakiti kaka kwa kulala na
huyo dada kibish coz mm cjamkubali ingaww kitaa anawashika wanyamwezi
jamani nifanye nn kanipigia wakati naandika,hii thread kuwa anakuja
baadaye...msaada tafadhari

usinisaliti nakuomba.
 
Hadithi ndeeefu, sasa ulikuwa na haja gani kusimulia mpaka jinsi mlivyo kula muwa, mambo ya ndizi na nyama mbuzi choma na juice kubwa ya azam, du mlifaudu nyama mbuzi eeee? na wewe ulikunywa fanta au mlishea hiyo juisi? du ulafaudu wewe, yaani !!!!

Kwa hiyo anakuja geto kwako anaoga, kumbe na wewe una geto lako aisee, alafu fullu kiyoyozi mwanangu, alafu bafu kwa ndani ya geto au mpaka uwani? alafu demu akishaoga unampa na taulo lako ajifunge au? alfu anaingia geto kwako anavaa huku umemdumbulia mijicho eeee? sawa bwana.
 
Hao YANGA kesho labda wasije uwanjani.....tutawatungua 7 bila kudadeki............
 
We ndo unayempa nafac lait unhalimwonyesha wazi asingekushobokea,sema una kitamaa kwa mbali sitak nataka
 
labda we handsome kuliko kaka ako! ndo mana anakuganda! sasa had mama ako amjua kama ni gal wako then unasema hujamfanya chochote.... mweh!! hizi hadith za aliens bana! kila sayari wapo
 
Dah! Maelezo marefu sana, halafu unahadithia kisista du sana, ndo maana anakuchulia poa nn!!
 
Guyz ni story ya kweli bro aliondoka mwezi wa tisa mwishoni kwenda chuo...ukiponda husaidii kitu nishaur nifanye nn....story kuwa ndefu ni ili unielewe mm nitunge story ikusaidien nn mm nasema true story
 
Hadithi ndeeefu, sasa ulikuwa na haja gani kusimulia mpaka jinsi mlivyo kula muwa, mambo ya ndizi na nyama mbuzi choma na juice kubwa ya azam, du mlifaudu nyama mbuzi eeee? na wewe ulikunywa fanta au mlishea hiyo juisi? du ulafaudu wewe, yaani !!!!

Kwa hiyo anakuja geto kwako anaoga, kumbe na wewe una geto lako aisee, alafu fullu kiyoyozi mwanangu, alafu bafu kwa ndani ya geto au mpaka uwani? alafu demu akishaoga unampa na taulo lako ajifunge au? alfu anaingia geto kwako anavaa huku umemdumbulia mijicho eeee? sawa bwana.

Ili unielewe kaka chai huwekwa sukari kaka....we ni shaurii kama huwezi basi piga kimyaaaa
 
kwa hii story ilivyo ndefu na huu uongo aibu naona mimi

Mtu mrefu na mfupi wote ni binadamu wa kweliiiii hata story ni hivyo hivyo we nishauri mengine piga kimya so ulitaka nije hapa niseme naomba ushauri bila kusema chochote
 
kwan huyo kakaako yuko wapi? Mtu kakutambulisha kwao, mamako kamjua kama dem wako, anakutumia pcha za x, haishi chumban kwako nk nk. Sasa kaka yuko wapi hajagundua pamoja na mambo yote haya? Kama ni story ya kweli basi inaonekana kaka yako hayuko karibu nae na atamegewa tu kama ndo hvyo. Hata kama si wewe atamegewa na wengne

Bro yupo chuo hayupo home ni bro wangu kabisa ye wakwanza mm wapili.....bt dis tym akitoka chuo huwa ana kaa na bibi coz bb yupo peke ake home das y cpo karibu nae sanaa
 
Back
Top Bottom