- Thread starter
- #41
Aisee, mbona story za kutunga humu ni nyingi sana? Siiamini hii story kwa sababu wewe dogo kuanzia mwanzo hadi mwisho umejisifia kama malaika vile!
Sijisii ndo maisha hayo kk niji sifie ya nini.......mm nasema ukwelii
Aisee, mbona story za kutunga humu ni nyingi sana? Siiamini hii story kwa sababu wewe dogo kuanzia mwanzo hadi mwisho umejisifia kama malaika vile!
unalelea lea ya nini kama humtaki wewe? bwana mega kisele mteme ila uhuni huo... demu anahitaji kukanyagwa hujui tu
Nimeshindwa kusoma hili gazeti.
kwani mlikunywa chai au juice ya Azam?Ili unielewe kaka chai huwekwa sukari kaka....we ni shaurii kama huwezi basi piga kimyaaaa
chumba kina full AC ......... samahani we ni muhaya?!
Grand PA
kwani mlikunywa chai au juice ya Azam?
kwa hiyo chai ya sukari ni mfano wa juice ya azam?Daaaa mkuuu....huo ni mfano
We ni mwanaume aseee.... uckute unamtamanimo ndo mana coz km kwel ni shemeji chumban anaft nn km c ww kumzoeshaa? Nyie mnajuana kwa vilemba bwana
kwa hiyo chai ya sukari ni mfano wa juice ya azam?
hata mimi nimejiuliza kaka yu wapi, kwa nini ajawa mkweli kwa dada zake kwamba ni wifi yao kwa kaka yao. anazingua huyu kanjanja tukwan huyo kakaako yuko wapi? Mtu kakutambulisha kwao, mamako kamjua kama dem wako, anakutumia pcha za x, haishi chumban kwako nk nk. Sasa kaka yuko wapi hajagundua pamoja na mambo yote haya? Kama ni story ya kweli basi inaonekana kaka yako hayuko karibu nae na atamegewa tu kama ndo hvyo. Hata kama si wewe atamegewa na wengne