Mpenzi wa kaka simuelewi

Mpenzi wa kaka simuelewi

kelvin82

Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
69
Reaction score
10
Habarini humu ndani mimi nina kaka yangu, sasa kuna siku tulikuwa tumekaa na kaka dukani kwetu na mimi nikiwa ni muuzaji pale dukani alikuja binti mmoja ambaye kwa ule mtaa alikuwa mgeni.

Alinunua alivyo kuwa ana nunua huku akiwa ananiangalia usoni huku akiwa amepisha shingo (hukuwepo ila malaika wako alikuwepo I think umepata picha the way alivyo kuwa amepindisha shingo) sasa mimi kiukweli sinaga tabia ya kumshobokea dada amabaye nakuwa namuona kwa mara ya kwanza, sina tabia za kumuongelesha dada ambaye ndo kwa mara ya kwanza namuona.

Sasa baada ya kumuhudumia pale dukani mimi nilitoka na kukaa nje kwenye bench moja na kaka nikaagiza muwa mmoja nikaletewa huku yule dada akiwa pembeni coz kuna mwenzie alikuwa ana msubiri, kama kawaida nilikata muwa nikampa kaka na mwingne nikawa nakula mimi kama kawaida sikutaka kuonesha shobo kwa yule dada sikumpa muwa kwa kweli coz nawafahamu wa dada wa kibongo ukimpa kitu ataanza kujishaua maana hisia zake zitampeleka kuwa huyu boy ananitaka na kuanza kuzungumza mbofu kwa watu mimi sikutaka hiyo initokee.

Kwa kuwa kaka angu ni mtu mwenye huruma alichukua kisu na kumkatia muwa baadaye walikaa na kuendelea kupiga story wakila muwa..mm nilisepa nikawa busy na kazi yangu ya dukani ambayo mama aliniachia.

Baada ya pale sikumwona tena yule dada coz kitaa mimi sio mtembeaji, ulipita muda mrefu sana siku nikiwa dukani yule binti alikuja lakini kiukweli mimi nilikuwa nimesha msahau kabisa sikukumbuka kama nimewahi muona niliona kwangu tena huyu ni mgeni, lakini niliwahudumia wote yeye akajiweka mwishoni.

Ilipofika zamu yake akanisalimia mm nikamjibu poa akanipa simu na kusema ongea na huyo jina alikuwa amemsace "TWN" kuongea naye kumbe akilkuwa ni bro akasema dogo huyo ni shemeji yako.

Nilipomaliza kutambulishwa nikamkaribisha kiti aka kaa nikaenda mnunulia chakula coz alikuwa ametoka safari nikamchukulia ndizi roast na na nyama ya mbuzi chomaa ya kutosha tuu na juice kubwa ya azam (mango) nikamletea nikamwambia karibu kula akadai tule wote but mimi nilizingua alivyo kula akaongea kidogo na kuomba kusepa coz kiukweli mimi nilikuwa sina muda wa kuongea nae coz nilikuwa nimechoka kimtindo kabla hajasepa alimpigia simu bro akasema bundle langu sio mda litakata so nitashindwa kukutext c unajua nako enda vocha adimu? Bro akamwambia poa.

Sasa mimi nilivyo sikia hivyo nikamwambia kwenye simu yangu kuna vocha kimtindo so naweza kukugawia akasema kama huto jali mm nikamrushia buku 6 vocha hakuamini coz alikokuwa anaenda ni mbali nikamuitia tax akaaga akaendaa (kumbuka mimi niliamua kumfanyia hayo kama shemeji yangu) baada ya mda akapiga simu coz mimi namba ake nilikuwa sina nikauliza wewe nani akasema mm shem wako thankx nimefika salama nikamwambia poa.

Baada ya week yule dada amekuwa karibu sanaaaa na mn nyumbani anakuja na mama anafahamu kama ni demu wangu kanitambulisha kwa mama yake kama rafiki yake wa karibu kaka hayupo kaenda masomoni na wakati anaondoka walikuwa wamegomba nikajitahidi kusuluhisha lakini wapi.

Sasa kinacho nikuta saizi yule dada nyumbani haipiti siku bila kuja na dukani anakuja, akija home anapenda sana kuangalia video za xxx kwenye pc yangu.....picha anazo nitumia whatsap zake ni hatariii mimi huwa sipendi nazifuta...akiwa room kwangu...anajiachia kana kwamba mm ndo kaka hata kama kaoga kwao akifika utasikia nataka kuogo huku kwenu joto sana sasa najiuliza joto linatoka wapi aki room kuna AC....kubwa zaid kuna siku alisema anataka ku dance for me...alidance alikata maunooo....sasa mm cnaga shobo naye wimbo ulivyo isha nikasema mm naenda ogaa...nilitoka zangu nikaoga nikatulia anafanya vng ambavyo hadi sahizi simuelewi nn ana maanisha.....

Jamani huyu shemeji naona aibu kumpiga marufuku room kwangu ..naona aibu kumzuia nyumbani na wot nyumbani wamempenda wakizania ni dem wangu mm tu sijampenda na sina hisia nae.......ingawa ving ananitamanisha lakin mm cwez msaliti kaka na pili huyu dada cjampenda na mchukia sema basi tu coz dem wangu wa kwanza alinitenda 2010 hadi leo sitki tena msichana yeyote yule

Naombeni ushauri nifanye nn kumuepuka je nimsakiti kaka kwa kulala na huyo dada kibish coz mm cjamkubali ingaww kitaa anawashika wanyamwezi jamani nifanye nn kanipigia wakati naandika,hii thread kuwa anakuja baadaye...msaada tafadhari.
 
Je hadi leo hujamgegesa? Kama huhawahi mpasulie ukweli asepe
 
Ayaaaa unakosea Mzeee mle mle fasta huyu wako kabsa cunajua Mke mwema hutoka kwa bwana? Ndo ushampat sasa kula mzgo
 
Sio lazima waweza kutamka kwamba.huhitaji ukaribu huo.
Pia aeshim mipaka yako na yake.
Kwani ukimwambia hutaki atakufanyaje?
 
unalelea lea ya nini kama humtaki wewe? bwana mega kisele mteme ila uhuni huo... demu anahitaji kukanyagwa hujui tu
 
unalelea lea ya nini kama humtaki wewe? bwana mega kisele mteme ila uhuni huo... demu anahitaji kukanyagwa hujui tu

Amstirie Kaka Ake , Akimuacha Atamegwa Tu Maana Amekwisha Elekea Kibla!!!
 
Aisee, mbona story za kutunga humu ni nyingi sana? Siiamini hii story kwa sababu wewe dogo kuanzia mwanzo hadi mwisho umejisifia kama malaika vile!
 
Hili gazeti la makorokocho! Halaf nikisoma nahisi linanipeleka speed sana nimeishia karibu na mwishoni!
 
kwan huyo kakaako yuko wapi? Mtu kakutambulisha kwao, mamako kamjua kama dem wako, anakutumia pcha za x, haishi chumban kwako nk nk. Sasa kaka yuko wapi hajagundua pamoja na mambo yote haya? Kama ni story ya kweli basi inaonekana kaka yako hayuko karibu nae na atamegewa tu kama ndo hvyo. Hata kama si wewe atamegewa na wengne
 
Mmmnh...Kuna vitu huwa sielewi..Hivi kweli kama humtaki mtu utashindwa kweli kumuepuka???
 
Gawaneni virusi na kaka yako ili mkumbushane siku ya kwenda kuchukua dozi.
 
kwa hii story ilivyo ndefu na huu uongo aibu naona mimi
 
Back
Top Bottom