Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Mkuu The last don Umeistukia picha yangu kasheshe kweli kumbe una macho wewe.yupi sasa,huyo baunsa wa nyuma au hako kamrembo ka mbele?
Mkuu amini usimini,kitandani wanakuwaga wapole balaa!Huyu akikupiga kabali, lazima umpe magoli yote anayo taka.
humu jamii forum humu ukiwepo halafu ukakondeana lazima utakuwa na roho mbaya,bujibuji umenichekesha mpaka ofisini wamejua naangalia internet.MziziMkavu umeona binti alivyo romantic? Sio mtu unakuwa na kimwanamke slake mpaka hujionei fahari kuwa naye. Mbuzi Mzee wahenga walisema jini likujualo halikuli likakwisha. Pia kofi la mpenzi haliumi. Kabali ninayopigwa mimi na wewe ziko tofauti sana. Kabali nikipigwa mimi inakuwa sealed with a kiss. Kabali utakayopigwa wewe itakuwa ile inayoitwa NIKANYAGE BAHATI MBAYA NIKUUMIZE MAKUSUDI
taamu Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini!humu jamii forum humu ukiwepo halafu ukakondeana lazima utakuwa na roho mbaya,bujibuji umenichekesha mpaka ofisini wamejua naangalia internet.
Kwanini ulimuacha?Huyo nilisha achana naye;
![]()
Mkuu.@Mbuzi Mzee akija atamtamani mpenzi wa Mkuu.@bujibujiMbuzi mzee njoo tutete
Bujibujin't she?
Kaka hainaga u shemeji? Natamani kolabo [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]MziziMkavu umeona binti alivyo romantic? Sio mtu unakuwa na kimwanamke slake mpaka hujionei fahari kuwa naye. Mbuzi Mzee wahenga walisema jini likujualo halikuli likakwisha. Pia kofi la mpenzi haliumi. Kabali ninayopigwa mimi na wewe ziko tofauti sana. Kabali nikipigwa mimi inakuwa sealed with a kiss. Kabali utakayopigwa wewe itakuwa ile inayoitwa NIKANYAGE BAHATI MBAYA NIKUUMIZE MAKUSUDI
kumbe wewe Bujibuji Mwanamke? samahani kwanini unaweka picha ya mwanamme? wakati wewe ni mwanamke?Bujibujin't she?