amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Mkojo sikukojoa na sikulala tena kumbuka tulilala kwenye saa saba na madakika kwa hiyo muda huo ilikuwa saa kumi na moja kasoro....sikulala tenaaaaaaaaaaaa.............nikajidai nakoroma....mara akaamka mie nikajidai nipo fofoooo gafla nasikia nyimbo za taarabu za khadija kopa ndo nikajiamsha kama nimeshtuka kumbe wapiiiiiiiiii
kachukia nini tena? Amu unapenda umbea wewe khaaa nimekuvulia nguoamekasirika ujue
embu mkomviss basi
bado ya katavimh kweli ukistaajabu ya dar utayasikia ya mwanza,mi nataka kujua umemwaga au bado. Upo nae?
Namuuliza unasikilizaga taarabu akasema nazipenda sanaaaaa mie nipo mmmh huyu senge huyuuu hana lolote hana cha unhcr wala baba tajiri wa sinza wala nini .......huu msukule tu
Mh kweli ukistaajabu ya dar utayasikia ya mwanza,mi nataka kujua umemwaga au bado. Upo nae?
Mh kweli ukistaajabu ya dar utayasikia ya mwanza,mi nataka kujua umemwaga au bado. Upo nae?
koku mi nalala mi mbavu zangu mbovuwacha weeeeeeeeeeee
we acha tu, tamaa hizi?shost naona alisahau kuwa hata UNHCR kuna office attendants,hapo unadhani watajitambulishaje kama si kusema wao ni wafanyakazi wa huko.
ahahaaaaa uuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
koku mi nalala mi mbavu zangu mbovu
Yaani ametuharibia pozi kabisa yana......amekata utamu penywe..