koku koku au alitoka kigoma na treni
ngoja nimalizie sasa nilikuwa nabembeleza watoto
ngoja nimalizie sasa nilikuwa nabembeleza watoto
Pengine zinakataa au pm haionekani. Au huko abroad hawaruhusiwi pm mwee si unajua mambo ya security tenaKwani ukipm wakati ukiwa abroad zinakugomea? Utuletee dhawadi mwaya. Utarudi na ndege?
Hppy to hear that.Nami niko Ok mwaya, nashangaa malimwengu haya.....nacheka pasipo mwisho
Nimefurahi kusikia uko bomba, Muumba wetu ashukuriwe.
Kuchungulia sanduku lake kidoko nidondokeeeee ..................nikasema huyu nani???? Kuangalia simu nilikuwa naambiwa ni ya millioni mbili eeeh ilikuwa ni sony tu ya kawaida....eeeh nikasema huyu nani jamani ...........nduguzangu mie usiku ule ni balaaaaa sintausahau
Mpo ama naongea mwenyewe?